Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Kumekucha mapema sana , kumekuchaaa..!Hata siku 100 tangu aapishwe hajafikisha wao wameshaanza kuwaza ya 2030.! Job is there...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumekucha mapema sana , kumekuchaaa..!Hata siku 100 tangu aapishwe hajafikisha wao wameshaanza kuwaza ya 2030.! Job is there...
Hii nchi inawatu wajinga snMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti huyo amemuhakikishia Rais kuwa wananchi wa kanda ya Ziwa wako pamoja nae na wana muunga mkono sana na hawatokubali mtu yeyote au kikundi chochote kimyumbishe Mh Samia ambaye ni chaguo la Mungu kwa Watanzania.
Kwa kweli hii kanda kuna shida mahali. Hivi watu wa kanda ya ziwa tatizo lao ni nini? Mimi huwa siwaelewi kabisa. Yaani unafiki, uuaji, roho mbaya, kuua watu kama akina Mawazo, kuamuru wenzao wapigwe risasi, watu kuswekwa kwenye viroba, kuua albino, yote ni wao. Kuna nini kanda ya ziwa?
Wameanza uchuro kwa Mama...
Huyo mwenyekiti wa CCM yeye ni Mungu hadi adai kwamba SSH ataongoza hadi 2030?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti huyo amemuhakikishia Rais kuwa wananchi wa kanda ya Ziwa wako pamoja nae na wana muunga mkono sana na hawatokubali mtu yeyote au kikundi chochote kimyumbishe Mh Samia ambaye ni chaguo la Mungu kwa Watanzania.
Huyu ni kiongozi wa ccm mkoa.Hii nchi inawatu wajinga sn
Kwamba covid19 imeisha haya sawaMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti huyo amemuhakikishia Rais kuwa wananchi wa kanda ya Ziwa wako pamoja nae na wana muunga mkono sana na hawatokubali mtu yeyote au kikundi chochote kimyumbishe Mh Samia ambaye ni chaguo la Mungu kwa Watanzania.
Sio watu wa kanda ni wahuni mmoja mmoja tuKwa kweli hii kanda kuna shida mahali. Hivi watu wa kanda ya ziwa tatizo lao ni nini? Mimi huwa siwaelewi kabisa. Yaani unafiki, uuaji, roho mbaya, kuua watu kama akina Mawazo, kuamuru wenzao wapigwe risasi, watu kuswekwa kwenye viroba, kuua albino, yote ni wao. Kuna nini kanda ya ziwa?
Hahahaha hamkomi tu?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Nyerere alikuwa wa watanzania wote. Tangu aondoke yeye nitajie kiongozi wa hiyo kanda mbaye siyo mhuni huni tu. nani? Makonda, Magu, Biswalo Mganga, Gwajima, Msukuma, Mnyeti, Kitwage, nk. Nani wa maana? Aibu tupu!Sio watu wa kanda ni wahuni mmoja mmoja tu
Uwezi kuhusisha kanda na upuuzi
Nyerere alitoka kanda hii hii unayosema ina shida gani.
Hebu tunapokosoa tujitahidi kukwepa ukanda na ukabila.
Nasikia wachuna ngozi wa Mbeya ni wahamiaji na wengine ni kutoka kanda hiyo hiyo maana wametapakaa kila mahali.Kwani wananchi ndiyo wameongea ama kaongea kiumbe mmoja tu ambaye ni mwenyekiti wa CCM tu? Usiwahukumu wananchi kwa vigezo vyako vya matukio ambayo huwa yapo mikoa yote ikiwemo uchunaji ngozi kule Mbozi mbeya hakuna mkoa wenye malaika watupu Tanzania hii kila wilaya inao wahalifu wake, Mh Rais Samia kaletwa na mungu kuja kuwatibu watanzania ambao walijeruhiwa na mtukufu magufuli enzi za uhai wake, si ajabu kusikia matamko ya viongozi wa CCM kwani lazima wafanye hivyo kama ilivyokuwa kawaida yao,watanzania tuendelee kuchapa kazi na kumuomba mungu amjalie afya njema Rais wetu aziti kuliongoza Taifa kwa Amani na upendo