Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.
Soma Pia:
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.
Soma Pia:
- Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
- Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tarime azomewa na Wananchi