Pre GE2025 Mwenyekiti wa CCM Mara awa kituko mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara. Asema kama amnifurahishi na wateteaje

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.

Soma Pia:
Aidha amesema kwamba na sisi msipotukubali hamna wasemaji tofauti na sisi ambao tutawatetea nilivyosiama kwenye jukwaa hili, kama amnifurahishi na wateteaje sasa maana mimi ndiyo nina muwakilisha Samia Suluhu katika masuala yote ya kisiasa na Ilana ya CCM katika mkoa huu wa Mara.
 
Kwa miaka zaidi ya 48 ccm haijawahi kumtetea mwananchi. Kinachofanyika ni kumrubuni mwananchi aone kuwa yeye ni mnyonge na bila ccm hawezi!

*ccm ni genge la vibaka, matapeli, walanguzi na wachuuzi!
*ccm ni laana kwa taifa!
 
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.

Soma Pia:
Aidha amesema kwamba na sisi msipotukubali hamna wasemaji tofauti na sisi ambao tutawatetea nilivyosiama kwenye jukwaa hili, kama amnifurahishi na wateteaje sasa maana mimi ndiyo nina muwakilisha Samia Suluhu katika masuala yote ya kisiasa na Ilana ya CCM katika mkoa huu wa Mara.
Alipimwa taka mwili kabla hajachaguliwa
 
Raia wanazidi kuchangamka. Ccm Wana Kiburi sana.
 
Unaweza kusema kwambaa Kumeanza kuchangamka;

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Patrick Chandi amekataliwa na wananchi kwenye mkutano wa hadhara licha ya kuwapa hadi shikamoo.

Soma Pia:
Aidha amesema kwamba na sisi msipotukubali hamna wasemaji tofauti na sisi ambao tutawatetea nilivyosiama kwenye jukwaa hili, kama amnifurahishi na wateteaje sasa maana mimi ndiyo nina muwakilisha Samia Suluhu katika masuala yote ya kisiasa na Ilana ya CCM katika mkoa huu wa Mara.
😲😲😲
 
Back
Top Bottom