MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kawateua?Mbona mnambebesha Sana mizigo huyu mama kwa chuki zenu za kipumbavu simiyu Kuna mkuu wa mkoa,rpc,rco,rso nk kwanini msianze kuhoji huko!? au mnafikiri mtu akiwa raisi anavikwa uMungu kwamba atajua Kila kinachotokea? muda mwingine muwe mnaficha chuki na upumbavu wenu.
hajakimbilia bali nyinyi ndio wasemaji wakuu kwamba maiti zilikuwa zinaokotwa kwenye masandarusi awamu ya tano sasa tuko awamu ya sita inakuwaje tena watu wanauliwa na kuwelkwa kwenye virooba kunani?????Umekimbilia kwa Magufuli kwa Nini? Baadala ujadili kilichopo umekimbilia kwa Magufuli. Hakuna laana kwa muuaji..kila anayeua naye damu yake nayo itadaiwa.
Pengine ni wewe usiyeelewa alchofanya huyo mama.Huyu mama ana Hoja lakini naona njia aliyotumia kuwasilisha sio nzuri, Naamini ana access na Ofisi ya RC Muda wote
Ni wazi kwamba wewe hujui maana ya kuwa mkuu wa nchi, kwa hiyo ni kazi bure kuanza kukufundisha hilo wakati huu.Mbona mnambebesha Sana mizigo huyu mama kwa chuki zenu za kipumbavu simiyu Kuna mkuu wa mkoa,rpc,rco,rso nk kwanini msianze kuhoji huko!? au mnafikiri mtu akiwa raisi anavikwa uMungu kwamba atajua Kila kinachotokea? muda mwingine muwe mnaficha chuki na upumbavu wenu.
Mbona mnambebesha Sana mizigo huyu mama kwa chuki zenu za kipumbavu simiyu Kuna mkuu wa mkoa,rpc,rco,rso nk kwanini msianze kuhoji huko!? au mnafikiri mtu akiwa raisi anavikwa uMungu kwamba atajua Kila kinachotokea? muda mwingine muwe mnaficha chuki na upumbavu wenu.
Hujui correlation kati ya katiba, uongozi na polisi?Katiba mpya itazuia watu kuuwawa?
Kadendu amekuelewa mkuu umetumia lugha kali sana.Ni wazi kwamba wewe hujui maana ya kuwa mkuu wa nchi, kwa hiyo ni kazi bure kuanza kukufundisha hilo wakati huu.
Mkuu 'kadendu', kama kuna "upumbavu" hakuna unaozidi kiwango cha upumbavu ulionao wewe.
Watu wa aina yako wanaongezeka kwa kasi sana ndani ya nchi hii, ndiyo maana tunapata viongozi kama huyo mama unayemtetea.
Hapana.Kadendu amekuelewa mkuu umetumia lugha kali sana.