Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu, Ikulu

Nimekwambia mwisho wa CCM 2026.
Andika Mahali Kwa kumbukumbu.
 
Nimekwambia mwisho wa CCM 2026.
Andika Mahali Kwa kumbukumbu.
CCM Haina mwisho Kama ambavyo Taifa hili lisivyo na mwisho wa uhai wake, Tutapita na kuiacha CCM ikiwa imara zaidi ya Leo na Jana, CCM Ni tumaini kwa waliokata Tamaa na wanaohitaji utumishi ulio tukuka, CCM ndio chama kilicho na Dira na muelekeo unaoeleweka, Huwezi ukaviunga vyamaa vya upinzani vilivyokosa dira na muelekeo wa kueleweka maana hujuwi kuwa kesho mnaweza pelekwa wapi,

Hakuna chama chenye uwezo wa kuitikisa CCM hii imara na inayoimarika kila siku, yenye mizizi na mtandao mpana uliogusa kila eneo tofauti na mavyama mengine yaliyo Kama matawi tu yaliyokatwa ambayo hunyauka jua likiwaka
 
Kama CCM ni imara, kwann mabalozi na wenyeviti wa mitaa hulipwa Ili kuwaleta wananchi waje mikutano I?

Kwann hamkosi kubebwa na MBELEKO ya Dola Kila muendako?

Mbona wananchi hawana time nanyi?

Kwann mnaogopa mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani?

Kwann mnashiriki kuanzisha migogoro vyama pinzani mf NCCR nk.

Time hii, hamtoiba uchaguzi, ni afadhali sote tulale saa 12 tujue hakuna utawala wa kidemokrasia.
 
Migogoro ya vyama vyenu msisingizie CCM, Wenyeviti wenu na viongozi wenu wamefanya vyama Kama miradi yao ya kuwapa vipato na kuendeshea maisha yao, Sasa mkitimuliwa na wanachama wenu mnaanza kuililia CCM, pambaneni na Hali zenu huko
 
Migogoro ya vyama vyenu msisingizie CCM, Wenyeviti wenu na viongozi wenu wamefanya vyama Kama miradi yao ya kuwapa vipato na kuendeshea maisha yao, Sasa mkitimuliwa na wanachama wenu mnaanza kuililia CCM, pambaneni na Hali zenu huko
Mrema the late alikuwa mpinzani yule? Mnanunua wapinzani mnaowatukana hawana Dira. Shame on you
 
Kama hizo ndio ajenda zenu Basi endeleeni nazo, Mavuno mtayapata kwenye chafuIt Kama hamtakimbia uwanjani
Dogo acha wenge! Ccm hii ninayoijua Mimi bila wizi wa kura, rushwa ya vitenge na tshirts, utekaji, mauaji na kuwakamata wagombea Kwa kutumia polisi na tiss haina ubavu wote wa kushinda uchaguzi nchi hii!
Kama kweli ccm Inajiamini iingie kwenye uchaguzi bila polisi, madc,wakurugenzi na wengineo mliowaajiri huko mikoani na wilayani ikione Cha mtemakuni Kwa jinsi itakavyoaibishwa! Fanyeni uchaguzi huru japo najua hamtaweza mkione Cha kanga kukosa manyoya!
 
Upinzani hamna ubavu huo wa kuitisha CCM, Tena mshukuru huwa tunawapa hata watu wa kugombea Urais maana bila hivyo mngekuwa mnakosa hata mgombea kiti Cha Urais
 
Nawe sijui ni mhaya wa wapi kenge wewe,,
 
Wanafanya vikao vya chama kwenye ofisi za serikali
 

Mwl. NYERERE alifanya CCM meeting(s) at Ikulu :


JAKAYA KIKWETE alifanya CCM meeting(s) at Ikulu:


But kwenye hili la CCM kufanya meetings zao Ikulu, WHY huwa mnamuona Magufuli tu?!!

-Kaveli-
 
Asante Sana kwa Taarifa hiiJapo hapo kwa Magufuli umekuwa too personal , πŸ™

Wanaomnyooshea kidole mtu mmoja pekee kwa jambo lilofanywa pia na watangulizi wake, hawako personal?

-Kaveli-
 
Hili nalo muende mkalitizame Kaka yangu Kinana, Mwanangu Hussein na Kaka yangu Mkubwa Shein,watu wenye akili za kawaida wanapinga sisi kufanya vikao vya chama Ikulu.
 
Hili nalo muende mkalitizame Kaka yangu Kinana, Mwanangu Hussein na Kaka yangu Mkubwa Shein,watu wenye akili za kawaida wanapinga sisi kufanya vikao vya chama Ikulu.
Ikulu ni ofisi ya Umma hata CHADEMA wanaweza kufanyia mikutano pia,
 
CCM NDIO CHAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…