World light
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 382
- 352
CCM hata Kama ukiwaona Kwenye kikao ni watu wa tofauti Sana Kwani wamevalia sare vizuri, Wanautulivu wa kutosha simply wako vizuri Sana hawa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi kila siku mnasema hii Serikali ya CCM. Ndo maana yake hiyo.Kinana ndio selemani matola?
Kwanini wanatumia ofisi ya umma kwa vikao vya chama?
CCM imesababisha tupige hatua Kwa kurudi nyuma!!Hivi kwa Sasa mnasimamia Nini kinachogusa maisha ya mtanzania?
Nakupenda CCMView attachment 2368860
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022.
View attachment 2368861
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dkt Hussein Mwinyi akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa ccm-Tanzania visawani Mhe Dkt Ally Mohamed Shein muda mchache kabla ya kikao kuanza,
View attachment 2368865
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Ndg Abdulrahaman KINANA akipitia makabrasha mbalimbali kabla ya kikao cha Kamati kuu Maalum,
View attachment 2368866
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka akiteta jambo na Mjumbe Mpya wa Kamati Kuu Ndg Steven Masato Wassira,
View attachment 2369158
View attachment 2369164
Wajumbe wa Kamati kuu wakimkaribisha kwa Wimbo wa Chama Mkt wa Kikao Ukumbini,
#CCM MBELE KWA MBELE
Ikulu ni Ofisi ya umma.View attachment 2368860

Mwisho wa agenda muulizane kale ka Utaratibu ka KUJIHOJI na KUJISAHIHISHA aloanzisha mwl Nyerere kaliishia wapi????View attachment 2368860
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022.
View attachment 2368861
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dkt Hussein Mwinyi akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa ccm-Tanzania visawani Mhe Dkt Ally Mohamed Shein muda mchache kabla ya kikao kuanza,
View attachment 2368865
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Ndg Abdulrahaman KINANA akipitia makabrasha mbalimbali kabla ya kikao cha Kamati kuu Maalum,
View attachment 2368866
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka akiteta jambo na Mjumbe Mpya wa Kamati Kuu Ndg Steven Masato Wassira,
View attachment 2369158
View attachment 2369164
Wajumbe wa Kamati kuu wakimkaribisha kwa Wimbo wa Chama Mkt wa Kikao Ukumbini,
#CCM MBELE KWA MBELE
Naona hiki chama bado kipo kwenye Hangover ya mfumo wa chama kimoja na chama kushika hatamu.View attachment 2368860
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022.
View attachment 2368861
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dkt Hussein Mwinyi akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa ccm-Tanzania visawani Mhe Dkt Ally Mohamed Shein muda mchache kabla ya kikao kuanza,
View attachment 2368865
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Ndg Abdulrahaman KINANA akipitia makabrasha mbalimbali kabla ya kikao cha Kamati kuu Maalum,
View attachment 2368866
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka akiteta jambo na Mjumbe Mpya wa Kamati Kuu Ndg Steven Masato Wassira,
View attachment 2369158
View attachment 2369164
Wajumbe wa Kamati kuu wakimkaribisha kwa Wimbo wa Chama Mkt wa Kikao Ukumbini,
#CCM MBELE KWA MBELE
Isomeke "Ni mali ya watu wachache"Naona hiki chama bado kipo kwenye Hangover ya mfumo wa chama kimoja na chama kushika hatamu.
Wakati umefika sasa CCM au chama kingine chochote kitakachokuwa madarakani, kitenganishe shughuli zake na shughuli za kiserikali. Hivi vikundi vinaitwa vyama kwa sababu sio mali ya watu wachache waliojiunga kwa hiari yao. Sasa inakuwaje chama kitumie raslimali za wananchi wote kama Ikulu na muda wa watumishi wa serikali kama Rais na Mawaziri? Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na ni wizi wa mali ya Umma na uhujumu uchumi. Mikutano kama hii inapaswa kufanyika nje ya saa za kazi au weekend kama watu wanaolipwa na serikali watahudhuria na ifanyike kwenye kumbi za mikutano ya kulipia au kumbi za chama kwa chama kilicho na kumbi zake.
Sio haki walipa kodi/Tozo kugharamia mambo binafsi ya chama kimoja, kama huo upendeleo haunufaishi vyama vingine.
Kwanini wanatumia raslimali zetu wote kama IKULU kuendesha vikao vyao?Kama CCM ni imara, kwann mabalozi na wenyeviti wa mitaa hulipwa Ili kuwaleta wananchi waje mikutano I?
Kwann hamkosi kubebwa na MBELEKO ya Dola Kila muendako?
Mbona wananchi hawana time nanyi?
Kwann mnaogopa mikutano ya hadhara ya vyama vya upinzani?
Kwann mnashiriki kuanzisha migogoro vyama pinzani mf NCCR nk.
Time hii, hamtoiba uchaguzi, ni afadhali sote tulale saa 12 tujue hakuna utawala wa kidemokrasia.
deal doneView attachment 2368860
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022.
View attachment 2368861
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Dkt Hussein Mwinyi akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa ccm-Tanzania visawani Mhe Dkt Ally Mohamed Shein muda mchache kabla ya kikao kuanza,
View attachment 2368865
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kanali Mstaafu Ndg Abdulrahaman KINANA akipitia makabrasha mbalimbali kabla ya kikao cha Kamati kuu Maalum,
View attachment 2368866
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka akiteta jambo na Mjumbe Mpya wa Kamati Kuu Ndg Steven Masato Wassira,
View attachment 2369158
View attachment 2369164
Wajumbe wa Kamati kuu wakimkaribisha kwa Wimbo wa Chama Mkt wa Kikao Ukumbini,
#CCM MBELE KWA MBELE
Unaota mchana kweupe mzeeNimekwambia mwisho wa CCM 2026.
Andika Mahali Kwa kumbukumbu.