Msiba wa Mwenyekiti wetu wa CCM(M)Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Comrade Hassan Wakasuvi kilichotokea leo tar 22
2.2024 majira ya saa 8:30 mchana katika Hospitali ya rufaa Kitete....ni Msiba wa Kitaifa kwa upande wa CCM.
Wasifu wa Mzee ni mkubwa kiasi ni vigumu kuandika nafasi nyingi mbalimbali alizohudumu Serikalini,,ndani ya Chama na Kijamii....itoshe kusema tumempoteza JABALI,,NGULI,,PROFESA na MWAMBA wa Siasa za Kimkoa na Kitaifa
Kwa kuzingatia ukubwa wa Msiba huu ambao mbali ya Wageni wengi wa Kitaifa,,ndugu,,marafiki na Jamaa wengi aliokuanao Marehemu ndani na nje ya nchi...lakini Wana Tabora peke yake katika eneo lile la Mabama nyumbani kwa Marehemu hatutatosha kushiriki na kupata fulsa nzuri ya kumsindikiza mpendwa wetu.
Nashauri...
Ikiwezekana Viongozi wafikirie umuhimu wa kuuweka Msiba Uwanja wetu wa CCM wa Ally Hassan Mwinyi....Kwanza ni katikati ya Wilaya zote...lakini kuna nafasi ya kutosha kwa wananchi wengi kushiriki kikamilifu.