TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

TANZIA Mwenyekiti wa CCM Tabora Hassan Wakasuvi afariki dunia akiwa ofisini

Je ?Alikuwa akikumbuka kanuni yetu,wanakijanišŸ¤“
 
Mwenyekiti wa CCM MKOA wa tabora Mzee mwakasubi amefaliki jana akiwa ofisi kwake.Kifo hicho kimetokea jana ambapo alianguka ghafla na kupoteza maisha.Msiba upo nyumbani kwao mabama.Atakumbukwa kwa kwa utendaji wake na uchapakazi wake uliotukuka.Sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea.
Angalizo:Katika maisha ni vizuri kumtegemea Mungu na sikutegemea watu kwa sababu watu hupita.
 
Huyu Mzee Marehemu amehudumu kweli kwenye hicho kiti,..poleni wanae, wanaMabama, wana Ilolangulu na WanaTabora kwa ujumla
Hivi unadhani mzee kama huyu alikuwa na sera gani kwa chama kuhusu maendeleo kwa wananchi tofauti na kuhakikisha wabinge wanapatikana wa ccm tu regardless ya uwezo wao mdogo au lah.
Viongozi waliozaliwa na kukulia kipindi cha ukoloni wanaitesa sana taifa hili, wana ukoloni tu kichwani mwao.
 
Kama angenusurika Hicho kifo angetoa shukrani sana Kwa gavaaa!


"NASHUKURU serikali ya awamu ya 8 Kwa kuniokoa na kifo"
 
Muda wa wanasiasa wengi kufa ndo huu hadi mwakani, baada ya hapo vifo vitakoma hadi 2029/30.
 
Msiba wa Mwenyekiti wetu wa CCM(M)Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Comrade Hassan Wakasuvi kilichotokea leo tar 22
2.2024 majira ya saa 8:30 mchana katika Hospitali ya rufaa Kitete....ni Msiba wa Kitaifa kwa upande wa CCM.

Wasifu wa Mzee ni mkubwa kiasi ni vigumu kuandika nafasi nyingi mbalimbali alizohudumu Serikalini,,ndani ya Chama na Kijamii....itoshe kusema tumempoteza JABALI,,NGULI,,PROFESA na MWAMBA wa Siasa za Kimkoa na Kitaifa

Kwa kuzingatia ukubwa wa Msiba huu ambao mbali ya Wageni wengi wa Kitaifa,,ndugu,,marafiki na Jamaa wengi aliokuanao Marehemu ndani na nje ya nchi...lakini Wana Tabora peke yake katika eneo lile la Mabama nyumbani kwa Marehemu hatutatosha kushiriki na kupata fulsa nzuri ya kumsindikiza mpendwa wetu.

Nashauri...
Ikiwezekana Viongozi wafikirie umuhimu wa kuuweka Msiba Uwanja wetu wa CCM wa Ally Hassan Mwinyi....Kwanza ni katikati ya Wilaya zote...lakini kuna nafasi ya kutosha kwa wananchi wengi kushiriki kikamilifu.
 
Back
Top Bottom