Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,466
- 766
Mwenyekiti wa CCM-Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan amefunga leo rasmi mafunzo ya kuwajengea uwezo makatibu wa CCM ngazi ya Wilaya na Mkoa,
Katika taarifa yake kwa Watanzani Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema mafunzo hayo yamehusisha Makatibu wa ngazi hizo wa Tanzania nzima yaani bara na Visiwani,
Katika taarifa hiyo Ndg Samia Suluhu Hassan amesisitiza Umoja, Upendo na Mshikamano huku akisisitiza kuwa mafunzo hayo ni endelevu kwa Ustawi wa Chama na Taifa kwa Ujumla wake,