Mwenyekiti wa CCM-Tanzania afunga rasmi mafunzo ya makatibu wa Wilaya na Mikoa Jijini Dodoma

Alianza PM na mobilization na sasa mwenyekiti atilia mkazo maana hali si nzuri.

Hiyo ndo moja ya sifa za chama tawala, maandilizi mapema asubuhi.
 
Ndugu zangu, kama kuna kitu vyama vya siasa si tu vya Tanzania, bali Afrika vinapaswa kuiga CCM au kupata shule ; ni hili la kuendeleza utaratibu wa waasisi wa kuandaa viongozi. Mwalimu Nyerere alifanya jambo hili kubwa. Na sasa CCM inaendeleza msingi huo.

Naamini Chuo cha Kibaha na Ihemi, vitarejesha zama za Kivukoni college. Tunahitaji viongozi vijana waliopikwa kuitumikia nchi na watu wake kwa uadilifu na uzalendo mkubwa.
VIVA CCM!
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Hayo ni mafunzo kwa wale waliofurushwa au hawa wapya ?
 
CCM
 
Hongera sana Mkt
 
 
hao ni watu muhimu lazima tuangalie mkakati wa 2024 na 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…