TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.

Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.

Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.

CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya
Snapinsta.app_460248785_26726655923615409_6641604621473610348_n_1080.jpg
 
Back
Top Bottom