Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mmoja tu alafu wa ngazi ya chini!Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.
Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.
CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake.
ya wilayaView attachment 3096688
Ukimaliza Mechi Tumtakie Mwenyekiti Pumziko La MileleNgoja kwanza nikacheki mechi.
Mkuu Mtakie Heri Tu Kwenye Safari Ya MwishoMwanaccm akifa naona ni bora
Na Nini ?Kila mwana CCM ameumia.
Hakuna Labda ChengeHuko bariadi wanabubujikwa na machozi ya simanzi,
Laana inakusumbuaMwanaccm akifa naona ni bora
Hivi na nyie huwa mnaumia mkifiwia ?Acha utoto ndugu yangu
Acha kuuliza maswali ya kitoto na kejeliHivi na nyie huwa mnaumia mkifiwia ?
Kejeli gani wakati nyie mnakinga ya kutokufa mtaishi milele muifaidi nchi au nakosea mwanaccm mtiifu ?Acha kuuliza maswali ya kitoto na kejeli
Ndio unakosea sana tuKejeli gani wakati nyie mnakinga ya kutokufa mtaishi milele muifaidi nchi au nakosea mwanaccm mtiifu ?
Nyie kuumiza wenzenu kama mtaishi milele mnakosea ?Ndio unakosea sana tu
Mkuu hili linanishangaza sana hivi majuzi moja ya kata moja huku kwenye kata yangu kulikuwa na uchaguzi wa marudioHiki chama kina ugomvi na vijana? Hawapewi nafasi za juu za uongozi
Hata siamini!!Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.
Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.
CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya
Pole kwa familia kutokana na msiba huu mkubwa wa kuondokewa na mama.Mwenyekiti wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Juliana Mahongo amefariki dunia leo Septemba 15, saa 1:00 asubuhi.
Kwa mujibu wa taarifa ya CCM iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Mkoa, Lumen Ngunda imeeleza kuwa mwenyekiti huyo amefariki wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza.
Katika taarifa hiyo, Chama Cha mapinduzi Mkoa wa Simiyu, kimetoa pole kwa jamaa na marafiki kwa kumpoteza na kiongozi wao.
CCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya
Mzee wa Bumbuli anamzungumziajeCCM imemtaja Mahongo kama kiongozi ambaye alikuwa mtiifu, mwaminifu na mzalendo kwa chama chake. ya wilaya
Shida kijana ukapambane na hao wazee una mganga wa maana au kwenu unapotokea upo vizuri ???Matatizo ya CCM kuchagua watu wa kufanya KAZI ya kulelea wajukuu,kuwa viongozi