Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Shetani ametawala moyo wako na matokeo yake utayapata tuWafe tuu wanedhurumu maisha ya watu wengi sana hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shetani ametawala moyo wako na matokeo yake utayapata tuWafe tuu wanedhurumu maisha ya watu wengi sana hawa.
Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumfufua mwanadamu aliyefariki duniaKabla ya maziko muwahisheni Gwajima akafanye ufufuo.
Mkome, nyie si ndio unajiona CHAWA badala ya binadamu?Hiki chama kina ugomvi na vijana? Hawapewi nafasi za juu za uongozi
😅😅😅😅😅Umebubujikwa na machozi ya furaha au huzuni?😎
Sasa kwa nini kada anaachwa aiongooee jamii. Aachane na uccm wake maana analeta shida tu kuona makada ni janja jana.Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kumfufua mwanadamu aliyefariki dunia
Mnajidharaulisha wenyewe kwa kujifananisha na CHAWA.Acha dharau zako ndugu yangu
Apumzike kwa amani