Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mbona Vijana wapo au wewe huwaoni.Hiki chama kina ugomvi na vijana? Hawapewi nafasi za juu za uongozi
Ndio alikuwa ni Mwenyeketi ila kwa sasa ametangulia mbele za haki.Huyu Bibi ni mwenyekiti?
Kwani hafai?Huyu Bibi ni mwenyekiti?
Bila shaka nawe umekula chumvi kiasi chake.Pole sana na pole sana kwetu pia wana CCM woteR.I.P classmate
Matatizo ya CCM kuchagua watu wa kufanya KAZI ya kulelea wajukuu,kuwa viongoziHuyu Bibi ni mwenyekiti?
Acha utoto ndugu yanguKumbe na nyie huwa mnakufa ? Nilijua mnaishi milele
Kila mwana CCM ameumia.Huko bariadi wanabubujikwa na machozi ya simanzi,
Hahaha.....Badala utoe pole unahoji nini?Huyu Bibi ni mwenyekiti?
Nimesoma page nzima nikitafuta ni wapi panasema hivyo.....Nimefungua chap, nikidhani naye amepata mauti baada ya kutekwa.
Vijana wenyewe wako wapi? Hivi huwa hamtuelewi tukisema Tanzania tuna uhaba wa vijana?Hiki chama kina ugomvi na vijana? Hawapewi nafasi za juu za uongozi