TANZIA Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu afariki dunia

Yaani mmoja tu alafu wa ngazi ya chini!
 
Hiki chama kina ugomvi na vijana? Hawapewi nafasi za juu za uongozi
Mkuu hili linanishangaza sana hivi majuzi moja ya kata moja huku kwenye kata yangu kulikuwa na uchaguzi wa marudio

Baada ya mwenyekiti wa ccm kata aliyekuwepo kupumzika kwa sababu ya changomoto za afya (nae ni mzee) waliitisha uchaguzi.

Waliochukuwa fomu most walikuwa wazee mmoja ana umri wa 90yrs nilipigwa butwaa.

aliyeahinda nafasi hiyo nae ni mzee ambaye ameshashika nyadhifa nyingi ndani ya chama na serikali.

Umri wake ni 67+ picha ziliwekwa mtandaoni baada ya mshindi kupatkana vijana walibweka sana kuwa hawa wazee ccm wanawaletea akina nani?

Honestly,
Vijana wakijiunga na ccm ni kwa ajili ya fursa basi...ni ngumu kumkuta kijana wa 35age ni mwenyekiti wa ccm kata, wilaya au mkoa
 
Hata siamini!!
 
Pole kwa familia kutokana na msiba huu mkubwa wa kuondokewa na mama.

CCM hampati pole yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…