Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
With all due respect yes. 100%. Na nilishawahi kufanya hivyo.Frankly speaking, unaweza kusimama na kupingana na CCM hadharani?
All but ule unishi constructive. Sio wa kutukanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
With all due respect yes. 100%. Na nilishawahi kufanya hivyo.Frankly speaking, unaweza kusimama na kupingana na CCM hadharani?
Hongera sana,mie naogopa!!With all due respect yes. 100%. Na nilishawahi kufanya hivyo.
All but ule unishi constructive. Sio wa kutukanana.
Huyu mwenyekiti no mtu hatari Sana, watu wanamlalamikia Sana, anapora ardhi za watu kwa kiasi kikubwa.Mimi ndiye mbunge wa jimbo la kilosa. Mitano tena
Dr Bashiru Ally tafadhari, karudishe heshima ya chama wilayani kilosa.Mwambieni katibu mkuu wa chama
Kama wamepora uchaguzi na mkaa kaa kimya, subirini siku akili iwarudie mkianza kuhoji tu mtapotezwa wote.
Hao AMCOS si wakatafute shamba jinginekwani Ardhi imekwisha?
Acha achukue mpaka akili za watu zirudi ndio aache. Tunafanyiana ujinga sana kwa kujitakiaKwani huyo mwenyekiti amepora hilo shamba kwakuwa ardhi zimeisha? Kwanini asiende kwenye hizo ardhi nyingine.
Kawashika baadhi ya watendaji wa serikali hawana cha kusema.Dr Bashiru Ally tafadhari, karudishe heshima ya chama wilayani kilosa.
Eneo la chanzuru alivamia shamba la Kijiji, yeye alipanda mikonge mchana, wanakijiji waliing'oa siku.
Hii inaonesha huyu mtu hafai