Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilosa anafisidi mashamba ya ushirika wa miwa

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilosa anafisidi mashamba ya ushirika wa miwa

Mimi ndiye mbunge wa jimbo la kilosa. Mitano tena
Huyu mwenyekiti no mtu hatari Sana, watu wanamlalamikia Sana, anapora ardhi za watu kwa kiasi kikubwa.

Kuanzia madoto, kimamba chanzuru kite anapora mashamba.

Ndiyo maana tunaamini ili kujipatia utajiri au kulinda utajiri ni lazima Kama siyo kiongozi Basi uwe mwanachama wa ccm.

Ccm ni chama Cha mafisadi, kwenye huu uporaji viongozi wote wa wilaya wamo na ndiyo maana hawamchukulii hatua

Halafu Kuna watu wapumbavu humu wanamsema mtoa post eti majungu.
Au ndiyo ninyi viongozi wa kilosa mnaomtumia Amer ili kujipatia ardhi!
 
Mwambieni katibu mkuu wa chama
Dr Bashiru Ally tafadhari, karudishe heshima ya chama wilayani kilosa.
Eneo la chanzuru alivamia shamba la Kijiji, yeye alipanda mikonge mchana, wanakijiji waliing'oa siku.

Hii inaonesha huyu mtu hafai
 
Wapinzani walikuwa wanatuchelewesha sana! Sasa tunapaa kwa mendeleo
 
Kama wamepora uchaguzi na mkaa kaa kimya, subirini siku akili iwarudie mkianza kuhoji tu mtapotezwa wote.

Hao AMCOS si wakatafute shamba jinginekwani Ardhi imekwisha?
 
Kwani huyo mwenyekiti amepora hilo shamba kwakuwa ardhi zimeisha? Kwanini asiende kwenye hizo ardhi nyingine.
Acha achukue mpaka akili za watu zirudi ndio aache. Tunafanyiana ujinga sana kwa kujitakia
 
Dr Bashiru Ally tafadhari, karudishe heshima ya chama wilayani kilosa.
Eneo la chanzuru alivamia shamba la Kijiji, yeye alipanda mikonge mchana, wanakijiji waliing'oa siku.

Hii inaonesha huyu mtu hafai
Kawashika baadhi ya watendaji wa serikali hawana cha kusema.
Hata mkuu wa wilaya hafurukuti......sijui wanakula wote!
 
Back
Top Bottom