DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185
Pia, Soma:
• Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Nisichoelewa kama Lissu hawezi kushinda kama unavyodai wewe.Yaani mnataka Mbowe amuachie Uenyekiti bila Uchaguzi?Ni itakuwa demokrasia au urithi?Kilewo ni pro chawa wa Mbowe,,tena ndo anaemuweka mjini,,,,unategemea atasema nini,, Mbowe atashinda uchaguzi ila Chama kitakuwa vipande vipande
Wapo, ila wenyewe wana akili tofauti na wa mbowe, siunaona ujengaji hoja wao hao team Mbowe...kama machizi eti mwenyekt wa CHADEMA Mkoa hajhahaaaMachawa wa Lisu hawapo???
Leteni madili ya CCM sisi tufanye kazi, taifa hili bila CCM imara ni miyeyusho. Huko Chadema wamejaa majizi mtupu, mkikaa vibaya hata Lisu watamuiba.Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185
Pia, Soma:
• Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Chawa wa mbowe akili wote hawana mkuu, usimshangae huyo!.Umekuwa ukicoment hivi kila uzi unaomhusu Lisu au Mbowe, kwa kifupi akili zako ni kama za nyumbu na hujielewi
Wengine hawasukumwi na kabila, ni CCM. Wanaogopa moto wa Lissu endapo atashinda.Anaemtakia mbowe aendelee, achunguzwe ni kabila gani!
Mnawezaji kusema kura za wagombea wakati uteuzi Bado? Kampeni Bado? Je kuwasemea wajumbe ujui kama ni kutowatendea haki?kampeni gani wakati Kileo ni mjumbe na ana nguvu ya wajumbe nyuma yake, wote anawapeleka kwa mbowe?
Lisu ana kura za wajumbe wangapi mkoa wa kinondoni, Dar es salaam, temeke, au ilala?🤣
wataalamu tulidigest na kudisect uchaguzi ulie isha hivi karibuni Marekani, kwamba Marekani atashinda Kamala Haris katika majimbo yote muhimu, na kisha atashinda uchaguzi mkuu wa marekani kwa ujumla wake kwamaana ya college votes na popularity votes,Mnawezaji kusema kura za wagombea wakati uteuzi Bado? Kampeni Bado? Je kuwasemea wajumbe ujui kama ni kutowatendea haki?