Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

Anaemtakia mbowe aendelee, achunguzwe ni kabila gani!
 
Kilewo ni pro chawa wa Mbowe,,tena ndo anaemuweka mjini,,,,unategemea atasema nini,, Mbowe atashinda uchaguzi ila Chama kitakuwa vipande vipande
Nisichoelewa kama Lissu hawezi kushinda kama unavyodai wewe.Yaani mnataka Mbowe amuachie Uenyekiti bila Uchaguzi?Ni itakuwa demokrasia au urithi?
Kama Lissu ni jembe aonyeshe kwenye uchaguzi na mwenye kushinda ashinde.Dai la Chama kuwa vipande vipande kwani la lazima tu Lissu ashinde ili kuwe na umoja?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Leteni madili ya CCM sisi tufanye kazi, taifa hili bila CCM imara ni miyeyusho. Huko Chadema wamejaa majizi mtupu, mkikaa vibaya hata Lisu watamuiba.
 
kampeni gani wakati Kileo ni mjumbe na ana nguvu ya wajumbe nyuma yake, wote anawapeleka kwa mbowe?

Lisu ana kura za wajumbe wangapi mkoa wa kinondoni, Dar es salaam, temeke, au ilala?🤣
Mnawezaji kusema kura za wagombea wakati uteuzi Bado? Kampeni Bado? Je kuwasemea wajumbe ujui kama ni kutowatendea haki?
 
Wote wanaomtaka Mbowe ni Wachaga na Machawe wake wa kutengenezwa. Wachaga hawataki fursa iondoke Uchagani.
 
Mnawezaji kusema kura za wagombea wakati uteuzi Bado? Kampeni Bado? Je kuwasemea wajumbe ujui kama ni kutowatendea haki?
wataalamu tulidigest na kudisect uchaguzi ulie isha hivi karibuni Marekani, kwamba Marekani atashinda Kamala Haris katika majimbo yote muhimu, na kisha atashinda uchaguzi mkuu wa marekani kwa ujumla wake kwamaana ya college votes na popularity votes,

vivyo hivyo,
tunasema, kwa hali ilivyo, Freeman Aikaeli Mbowe atashinda kwa kishindo kikuu katika kanda 8 kati ya 10 za kiutawala chadema, na mbili zilizobaki watagawana na Lisu.

Pamoja na makelele na mdomo,
Lisu hawezi kushida popote, iwe ni kura za wajumbe au popularity votes 🐒
 
Back
Top Bottom