Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Dar: Henry Kilewo: Tunamhitaji Mbowe, Lissu Tunamjua na Mbowe Tunamjua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya sio ya kuyapa Nchi hayasimamii wanachokihubiri, Kilewo kwa akili hizi ndiomana Joyce alikunyoosha.!!
Ana uchawa mwingi na kupenda ganda la ndizi..!!!!
 
Wewe Sio Mchaga...
Kwa Taarifa Yako Akiondoka Mbowe Na Wachaga Wote Wataondoka Tuliona Kipindi Hicho Cha Nccr
Ninarudia tena,ni taahira, kilaza na mpumbavu wa kutupwa tu ndio anaweza kuongela ukabila na ukanda karne hii, tena ni zwazwa anayeweza kujumuisha mtu/watu kimakundi.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

Kileo amelewa
 
Kwa sasa kama Mbowe atataka kuchukua form basi hakuna ndani ya CDM wa kuchuana naye- unless mtu ajitokeze tu just to make a number na ku update CV yake.

Kama inakuuma tafuta kiwembe tafuna umeze - lakini huo ndiyo ukweli.
Mbowe kawaweka mateka viongozi wengi sana wa chadema, wamegeuka waimba mapambio zaidi kuliko kuitetea chama.
 
Ni vizuri aelekeze nguvu kwenye kampeni aachane kupiga mdomo!
kampeni gani wakati Kileo ni mjumbe na ana nguvu ya wajumbe nyuma yake, wote anawapeleka kwa mbowe?

Lisu ana kura za wajumbe wangapi mkoa wa kinondoni, Dar es salaam, temeke, au ilala?🤣
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.

"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea" alisema Kilewo.
View attachment 3180185

Pia, Soma:
Mwenyekiti CHADEMA Mbeya: Tutamlazimisha Mbowe agombee Uenyekiti
CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Ujinga tu, mwenyekiti wa kazi Gani wati huku mitaani hakuna hata ofisi

Sasa tundu akiondoka nani atawafuata hawa wahuni
 
kampeni gani wakati Kileo ni mjumbe na ana nguvu ya wajumbe nyuma yake, wote anawapeleka kwa mbowe?

Lisu ana kura za wajumbe wangapi mkoa wa kinondoni, Dar es salaam, temeke, au ilala?🤣
Ndo nimesema apambane asitafute huruma ya kumzuia Mbowe... aache kubwabwaja mpaka ute mweupe unamtoka mdomoni apambane apenye kwenye boksi la Kura.
 
Ndo nimesema apambane asitafute huruma ya kumzuia Mbowe... aache kubwabwaja mpaka ute mweupe unamtoka mdomoni apambane apenye kwenye boksi la Kura.
Wanaomuunga mkono Lissu hawataki uchaguzi.Wanataka aachiwe Uenyekiti na Mbowe. Wanajua wazi kwamba kwa kura hawawezi kushinda.
Ndio maana wamewekeza kwenye kampeini mitandaoni huku wakijua kwamba hushindi uchaguzi kwa mitandao.
Jumamosi Mbowe akitangaza kugombea safari ya Lissu imeishia hapo.
 
Ndo nimesema apambane asitafute huruma ya kumzuia Mbowe... aache kubwabwaja mpaka ute mweupe unamtoka mdomoni apambane apenye kwenye boksi la Kura.
aache mdomo na kupumbazwa na ushabiki wa mitandaoni na maaskofu anaoambatana nao wasio wajumbe right?🐒
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Huyu Henry Kilewo, baada ya kuachwa na Joyce Kiria alobaki hana mbele wala nyuma. Anakula na kuvaa kwa kumtegemea Mbowe. Chawa wa Mbowe.
 
Kilewo ni pro chawa wa Mbowe,,tena ndo anaemuweka mjini,,,,unategemea atasema nini,, Mbowe atashinda uchaguzi ila Chama kitakuwa vipande vipande
 
Back
Top Bottom