Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daah naona wana wasi wasi sana pana kitu kipo sio bure...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Wabongo kwa kubadirika alivoingia Madarakani mkamsifia anademokrasia nzuri zaidi ya Mwendazake saivi Tena mmebadirikaSamia nchi imemshinda asaidiwe atuachie Tanganyika yetu arudi kwao akale urojo
Ingekuwa maandamano ya kudai haki yanaharibu uchumi, ilitakiwa hela yetu iizidi ya Kenya wakati walipokuwa kwenye maandamano ya Gen Z.Apambanie familia yake fine ila sio Kwa kuharibu shughuli za wengine au amani ya Nchi.
Unataka kuleta maandamano Ili kuvuruga uchumi Ili kitokee nini?
Kwani nani aliokwambia hela kuwa kubwa ndio uchumi mkubwa, unajua lihela la oman sijui kuwait ni kama 4000 je unadhani ndio ina uchumi kuliko marekani? Au kwacha ilivyokuwa kubwa kuzidi kenya shilling na tanzania shilling, ukienda zambia maisha yao utalia, umeme unakatwa kila siku masaa karibia 15 kwa siku, na barabara hovyo ,watu wana maisha duni sanaIngekuwa maandamano ya kudai haki yanaharibu uchumi, ilitakiwa hela yetu iizidi ya Kenya wakati walipokuwa kwenye maandamano ya Gen Z.
Ccm wanaiogopa Chadema kuliko wanavyoogopa Ukimwi.Ninyi mnaohisi kuwa mpo salama mnajidanganya sana,ipo siku ccm watatupiga tukio mpka hatutaamini macho yetu na masikio yetu.Kama hatukujifunza kwa Magufuli hata kama tukitobolewa macho hatuwezi kujifunzaHakuna cha 4R's ilikuwa ni mbinu ya kupora rasilimali za Tanganyika!
Unaongea nini dogo? Kwahiyo mtu akija na hela ya Kenya hapa Tanzania itakuwa na thamani ndogo kuliko ya Tanzania maana walikuwa kwenye maandamano?Kwani nani aliokwambia hela kuwa kubwa ndio uchumi mkubwa, unajua lihela la oman sijui kuwait ni kama 4000 je unadhani ndio ina uchumi kuliko marekani? Au kwacha ilivyokuwa kubwa kuzidi kenya shilling na tanzania shilling, ukienda zambia maisha yao utalia, umeme unakatwa kila siku masaa karibia 15 kwa siku, na barabara hovyo ,watu wana maisha duni sana
Hivi huoni wakenya wanavyooenda kuishi tanzania?
Maandamano yanaharibu uchumi ndio maana watu hawawezi kufocus kwenye kazi na inaathiri hata wasiokuwa kwnye maandamano yote for what? Ili mchaga aingie madarakani? Unadhani mbowe akiingia maisha yako yatabadilika?
Hao zambia tu wanamkumbuka lungu, no matter raisi ni nani maisha yako hayategemei miujiza ya raisi bali ni juhudi binafsi, raisi atuwekee mazingira mazuri na huduma bora kitu ambacho samia amejitahidi zaidi ya sana
Hela kuwa kubwa kuliko nchi nyingine haimaanishi uchumi wako ni mkubwa au hali ya maisha ya nchi yako ni nzuri ,Hapana siyo ukabila ila anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuongoza hadi kutaka kutuletea vurugu kitu ambacho hatutokubaliUnaongea nini dogo? Kwahiyo mtu akija na hela ya Kenya hapa Tanzania itakuwa na thamani ndogo kuliko ya Tanzania maana walikuwa kwenye maandamano?
Nimekudharau hapo uliposema mchaga aingie madakani. Nimejua huna lolote kichwani zaidi ya ukabila wa kipuuzi.
Zero brainTia ndani hawa wapiga deals za hela ya ruzuku hawana lolote!
Kwahiyo uchumi wa Kenya ni mdogo ila hela yake ina thamani kuliko yetu?Hela kuwa kubwa kuliko nchi nyingine haimaanishi uchumi wako ni mkubwa au hali ya maisha ya nchi yako ni nzuri ,Hapana siyo ukabila ila anatumia nguvu nyingi sana kutaka kuongoza hadi kutaka kutuletea vurugu kitu ambacho hatutokubali
Nyie machawa ndio msiotumia akili zenu vizuriAisee Wabongo kwa kubadirika alivoingia Madarakani mkamsifia anademokrasia nzuri zaidi ya Mwendazake saivi Tena mmebadirika
Soon litamfuata Magufuli alipoNakazia Wacha liendelee kutapatapa hapo Ikulu ila nyie mtakuwa mnaiona Kwa mbaaaalii 😂😂😂😂😂
Naona sasa unataka tufungue tuition vitu vingine jielimishe mwwnye umewahi kuona wapi mtu nakuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka zaidi ya 15 na hataki challenge ukimchallenge unageuka adui, leo tumpe jeshi ,polisi na usalama huyo mtu si atakuwa hatari sana ni zaidi ya dikteta, hatupo tayari kwa hilo watanzaniaKwahiyo uchumi wa Kenya ni mdogo ila hela yake ina thamani kuliko yetu?
Yeye anatumia nguvu kubwa, ila hawa wanaopora chaguzi za nchi wanatumia nguvu ndogo? Kuna mchaga amegombea urais hivi karibuni kupitia cdm, au ni mambo ya bendera fuata upepo?
Akili zako mbovu si unajua?Weee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani!
Furaha yenu ulkuwa ya nn sasa ilhali hekaheka bdo ziko palepale!?..hata Mama Abduli alifurahia mpaka akamtangaza kuwa ameondoka kwa covid.
..mambo haya hayana uhusiano na Jiwe.
..Serikali inawaogopa wananchi, na wana hofu wakikutana na Chadema watapewa elimu.
Furaha yenu ulkuwa ya nn sasa ilhali hekaheka bdo ziko palepale!?