Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
mpaka Leo anasingiziwa sana lkn ukisikia sgr,stiglers gorge power project,MAGU city na project nyingine nyingi yeye ndo mwasisi na bila kifo zingeshakamilika kitambo.na nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo kifo kiliidhulumu hii nchi kiongozi madhubuti kabisa.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana