Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akutana na Rais Samia Ikulu leo Desemba 31, 2022

Je mwenyekiti ameunda na Nani kama alivyo upande wa pili?! Haya ni mambo muhimu.
Upande wa pili hapo umemuona nani?

Yupo M/Mwenyekiti CCM

Na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama Serikali ambaye Kikatiba ndiye mtendaji Mkuu wa Maamuzi yote ya Nchi
 
Hahahaha, Mwenyekiti Krismas yake saaafi, wewe kapitie fungu la dagaa, tena la kukopa hapo gengeni
Sio kila mtu anayajua magenge hayo mnayafaham nyie mnaofugwa lumumba sisi tunakula misusa safi kijijin isiyo na mikojo wala kemikali wewe endelea kufugwa hapo lumumba ila mamayenu tayari amesurender kwa mbowe katiba inakuja itawafagia mazuzu wote hapo lumumba na hizo buku saba zenu ndo bye bye.
 
Nashauri wanachama wote wa CCM wapewe udaktari wa heshima ili wajidai kama bosi wao. Udaktari wa kupewa siyo wa kutumiwa na mwenye kuupokea. Ni bahati mbaya Jakaya Kikwete, kilaza mkubwa alipopewa akaanza kujiona daktari. Watangulizi wake wote walikuwa wamepewa na si mara moja au mbili lakinii hawakutumia cheo cha daktari. Ukiutaka kasomee uone ugumu wake.
 
Ndio utajua hujui, vichwa vilivyo nyuma ya mama ni magwiji ya hali ya juu
 
Kuna mtu hapa Jukwaani akiitwa Ikulu atakataa? Keki ya taifa inatakiwa kila mtu aonje
 
Kama ikitokea siku mikutano ya kisiasa ikaruhusiwa katikati ya hayo mazungumzo, basi Mbowe ataonekana mshindi, lakini kama mambo yataendelea kwenda kwa namna ilivyo sasa, Mbowe ataonekana anatumiwa na CCM kwa manufaa yao, kazi kwake.

Lema nae alisema kikao chao cha mwezi huu watakutana wazungumze maendeleo ya hayo mazungumzo kama yana tija, ajabu leo December inaishia wapo kimya, hakuna mkutano, na hakuna taarifa yoyote juu yake, kwa hali ilivyo sasa huko Chadema, nje moto ndani moto, ngoja tuone mambo yatatulia lini na vipi.
 
Kajinyonge, Mbowe ni kada tayari
Wenye kujinyonga ni nyinyi ambao nature itawafagia sisi kama hatukujinyonga kipindi cha mungu wenu wa chato hatutaweza kujinyonga tena kwa sasa jiandaeni kusaga meno katiba itawafagia mazuzu wote hapo lumumba.
 
Zitto anaumia sana akiona hizi picha, najua leo katukana matusi mengi sana
 
Ni sawa na simba imekosa kombe la ligi kuu! Mo dewj anaenda makao makuu ya yanga kuomba maridhiano! Wakati kombe liko yanga! Sasa sijui anatakaje huyu mbowe au hela ya sikukuu!
sio kila mtu anafaham hayo mayanga yako peleka jukwaa la michezo wewe buku saba la sivyo tafta kaz za kufanya katiba mpya inakuja wajingawajinga itawafagia wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…