peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hapa unatapeliwa kamasio kudanganywa.
Unahudhuria vikao vya maamuzi wewe mwenyewe bila hata Katibu mkuu wa chama chako?
Ni nani anakusaidia kuandika agenda?
Je chadema ni chs chako mwrnyewe au ni chama cha wananchi?
Kinana na mama nao hakuna Katibu mkuu wa chama?Hicho ni kikao sasa?
Mama anachotafuta hapo ni kupita salama 2025 baada ya hapo maumivu utayaona bwana mbowe.
Ushauri wangu mazungumzo hayo wajumbe wawe 10 kwa kila upande ila kinachoendelea huko ikulu ni sawa ns mkutano wa ccm na hutatoboa.
JK bila kuamua hakuna kikao hapo.