Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akutana na Rais Samia Ikulu leo Desemba 31, 2022

Wakati kukiwa hakuna lolote linalobadilika!

Hawa ni watu wenye akili nzuri kabisa, lakini Maajabu ndiyo hayo!
Na wafuasi wao wanashangilia kuona picha tu.

Labda wamechoka kufanya siasa wameona wafanye maigizo.
 
Sasa sijui mkuu 'Erythrocyte' atachukuliaje ushauri wako huu makini kabisa!

Mbowe anatumika sasa kama kifaa!
Anatumika kuwapa ahueni ccm kwa kuvunja katiba.

Anatumika kuhalalisha uvunjaji huo.

Worse enough anatumika kupoteza mwelekeo wa chama chake mwenyewe.

Hawa jamaa akili walizokuwa nazo huko mwanzo wamezipeleka wapi ?
 
Ni vigumu sana kutofautiana nawe katika hili, lakini hii siyo mara ya kwanza CHAMA hiki kikipitia njia kama hii.
Lisilojulikana ni kama safari hii kutakuwepo na tofauti.
tusubiri kidogo sana
 
Anatumika kuwapa ahueni ccm kwa kuvunja katiba.

Anatumika kuhalalisha uvunjaji huo.

Worse enough anatumika kupoteza mwelekeo wa chama chake mwenyewe.

Hawa jamaa akili walizokuwa nazo huko mwanzo wamezipeleka wapi ?
Hapana.

Tusifanye haraka kuhukumu.

Haya mambo hayawezi kujificha, muda si muda kila kitu kitakuwa wazi.
 
Makamba amepitwa mno na wakati
Mkuu 'Erythro', kwa hapa tulipofikia ni busara kusema tuvute subira mambo yajifunue yenyewe. Lakini kutokana na dalili anazoonyesha Mwenyekiti, tokea kule kwenye safari yake ya hivi karibuni, na aliyoyazungumza huko, dalili siyo nzuri hata kidogo.
Sasa tena angalia anavyo jionyesha kwenye picha kama hizi. Watu wataachaje kuanza kusema yao?

Inawezekana sana Samia ni fundi mkubwa wa kutengeneza matukio kama haya..., hebu wewe mwenyewe angalia 'timing' ya mkutano huu wa watu watatu!
 
Kuna jamaa alisema Mbowe ameingia ikulu mara nyingi kuliko Makamu wa raisi
 
Hivi Mbowe na Chadema yake wanataka nini katika haya yanayoitwa maridhiano? Wao hasa wanataka kutimizwa nini??
 
Kwanini mbo
View attachment 2464661

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.

View attachment 2464667
======

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo

Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Kwanini Mbowe yuko puke yake?
 
MBOWE SIO WAKULALAMIKIWA NI MTU MAKINI HAJUNA SIASA ZA KURUSHIANA MAWE..HALAFU INAKERA KUSEMA MBOWE ANALAMBA ASALI .MBOWE NI BILIONEA KAMA HAMUJUI HANA NJAA KAMA MUNAVYOFIKIRIA ANA UTAJIRI WA KUTOSHA..MBOWE NI MWANASIASI MAHIRI
TUSIWE TUNALAUMU TUSUBIRI MWISHO ITAKAVYOKUWA
 
Sura ya maridhiano ya huko Zanzibar🐒🐒🐒
 
Hizi ndiyo siasa. Vyama vya upinzani viko kikatiba na wapinzani ni wananchi wenzetu.

Ila yule shetani wa Chato aliufanya upinzania ni uadui. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu hatimaye akasepeshwa jehanam mnamo 17/ 03/ 21
Acha ujinga magu siyo wa kubezwa Kam una akili timamu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2464661

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.

View attachment 2464667
======

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo

Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Kati ya siku mbaya aliyokutana nayo Mbunge wa Hai , Saashisha Mafue ni siku ya Mwisho kumaliza mwaka 2022 na kuona kikao hiki kimefanyika na kimefanikiwa.

Hali ya Saashisha Mafue, Kisiasa kuelekea 2025 ni mbaya kupindukia ukizingatia kuwa hakuwa chaguo la wananchi wa Jimbo la Hai.
 
View attachment 2464661

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2022.

View attachment 2464667
======

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia leo 31/12/2022

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba huu ndio ule ule mwendelezo wa Majadiliano ya Maridhiano kuelekea Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , ambapo Rais Samia amepokea Taarifa ya Maridhiano hayo

Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana
Rafiki yangu mbowe nipe na mie hata kijiko kimoja cha Asali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom