Wanachama wana paswa kuushinikiza uongozi kujiweka kando na maridhiano na waalifu na sio kukigeuza chama kama mali yao binafsi viongozi.
Jambo nililo gundua ni kuwa wanachama wa Chadema ni waoga kwa viongozi wao hasa hasa viongozi wa juu wa chama kuanzia mwenyekiti, jambo linalo fanya mambo mengi ndani ya chama kutekelezwa kutokana na nguvu ya mwenyekiti na sio maridhio ya wanachama kwa asilimia kubwa.
Chama Cha Chadema chini ya Mbowe hakina tofauti na Chama Cha Kikomunisti cha China kipindi Cha mwenyekiti Mao maamuzi mengi ya Chama yalifanywa kutokana na nguvu zake na sio maridhio ya wanachama kwa asilimia kubwa.