Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

Hapo police watajifanya wanalinda usalama wake, unafiki mtupu. Hakuna mwananchi wa kumfanyia fujo kaka Mbowe, ila yule jiwe akiachiwa mtaani mwenyewe lazima watu wakule kile kichwa
Wewe ni mbumbu hujui kitu. Mbowe ana ulinzi mkubwa sana toka vyombo vya serikali, jaribu umguse uone. Ni ninyi wajinga tu msioelewa.
 
Wewe ni mbumbu hujui kitu. Mbowe ana ulinzi mkubwa sana toka vyombo vya serikali, jaribu umguse uone. Ni ninyi wajinga tu msioelewa.
Ndo mnavyojidanganya MATAGA, ulinzi wetu ni Mungu na ulinzi wenu ni ma policcm, that's why Tundu Lissu survived your damned brutal assassination attempt!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1584111071622.png
 
Back
Top Bottom