MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Yani siku jiwe likijitokeza lenyewe mtaani..watu watamfanya keki walahi.Hapo police watajifanya wanalinda usalama wake, unafiki mtupu. Hakuna mwananchi wa kumfanyia fujo kaka Mbowe, ila yule jiwe akiachiwa mtaani mwenyewe lazima watu wakule kile kichwa