Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

Viongozi wa chadema mnajambo la kujifunza ktk kesi hii kuanzia mwanzo hadi hukumu iliyo tolewa. Kaeni chini mtafakari.
 
Imefanyika exchange,walioenda kumpokea wamewekwa ndani....
Michango iendelee...
Tumeni account nambaπŸ˜„
 
Hapo police watajifanya wanalinda usalama wake, unafiki mtupu. Hakuna mwananchi wa kumfanyia fujo kaka Mbowe, ila yule jiwe akiachiwa mtaani mwenyewe lazima watu wakule kile kichwa
Ataanza kuliwa mama yako kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…