Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe atoka Magereza

Hapo police watajifanya wanalinda usalama wake, unafiki mtupu. Hakuna mwananchi wa kumfanyia fujo kaka Mbowe, ila yule jiwe akiachiwa mtaani mwenyewe lazima watu wakule kile kichwa
Yani siku jiwe likijitokeza lenyewe mtaani..watu watamfanya keki walahi.
 
Sijaona sababu ya msing ya uzi huu kutounganishwa na ule mwingine.
 
Mods toeni huu upuuzi
Wewe zombie unataka ziwekwe mada gani ?, za mapambio na kusifu awamu ?. naamini hujaitwa kuja humu, medias zipo nyingi sana, nenda kule fB au kanunue gazeti la Uhuru utapata habari unazozitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…