Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote leo.

Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mandela wa Eneo la Maziwa Makuu, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo tarehe 4/12/2022 anaondoka nchini Tanzania kuelekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi ya siku sita.

 
Safi sana na hope's kuna siku atatutembelea huku lingusenguse, maana hakuna president wa nchi ameshawahi kutia mguu wake huku toka uhuru wa bendera
 
Safi sana na hope's kuna siku atatutembelea huku lingusenguse, maana hakuna president wa nchi ameshawahi kutia mguu wake huku toka uhuru wa bendera
Hiyo ni mkoa gani ?
 
Anaenda kama Mwenyekiti mwenza wa DUA au kama Mwenyekiti wa Chadema?
 
Huko marekani anaenda kufanya kazi gani bwashee?
Kazi zipo hapa tanzania ila hataki kuzifanya.
Afanye kazi ili chama kiongeze nguvu.
 
Hapo Mwenyekiti Taifa wa CCM lazima naye alipe kisasi baada kumaliza mkutano wao mkuu wa chama. Naye atafanya ziara zake za nje katika nchi kama tano hivi tofauti ili kuwatia nyodo wana CDM.
 
Awamu hii niko upande wa CHADEMA. Namshauri Mbowe afanye afanyalo aje na mbinu za kuiondoa ccm madarakani kihalali kabisa kwenye uchaguzi wa 2025.
Tumewachoka ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…