Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

Madiaspora wanapesa za kutumia na kusaidia watu.

Tutapata kijiofisi cha kudumu japo hata kijengwe Kibaha.

Vijana wa Zitto wamezidi kutusimanga kwa mammbo ya ajabu.

Tusifanye kosa kama pesa ya Sabodo ilivyoyeyuka kama theluji.
 
Huko marekani anaenda kufanya kazi gani bwashee?
Kazi zipo hapa tanzania ila hataki kuzifanya.
Afanye kazi ili chama kiongeze nguvu.
Ungeenda naye ili kuona anafanya nini.
 
Back
Top Bottom