Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuanza ziara ya Kikazi nchini Marekani

Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote leo .

Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania , ambaye pia ni Mandela wa Eneo la Maziwa Makuu , Mtemi Isike , Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe , Leo tarehe 4/12/2022 anaondoka nchini Tanzania kuelekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi ya siku sita .

View attachment 2435494
Labda magazine ya Times imeshamshtua kuwa yeye ndio Times person of the year 2022
Screenshot_20210806_232645.jpg
 
Back
Top Bottom