Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Dec 5, 2022 #41 Chadema ijenge ofisi kwanza.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Dec 5, 2022 #42 Safari njema
Kamanda Asiyechoka JF-Expert Member Joined Sep 13, 2020 Posts 3,315 Reaction score 5,058 Dec 13, 2022 #43 Madiaspora wanapesa za kutumia na kusaidia watu. Tutapata kijiofisi cha kudumu japo hata kijengwe Kibaha. Vijana wa Zitto wamezidi kutusimanga kwa mammbo ya ajabu. Tusifanye kosa kama pesa ya Sabodo ilivyoyeyuka kama theluji.
Madiaspora wanapesa za kutumia na kusaidia watu. Tutapata kijiofisi cha kudumu japo hata kijengwe Kibaha. Vijana wa Zitto wamezidi kutusimanga kwa mammbo ya ajabu. Tusifanye kosa kama pesa ya Sabodo ilivyoyeyuka kama theluji.
sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Dec 13, 2022 #44 gothmog said: Huko marekani anaenda kufanya kazi gani bwashee? Kazi zipo hapa tanzania ila hataki kuzifanya. Afanye kazi ili chama kiongeze nguvu. Click to expand... Ungeenda naye ili kuona anafanya nini.
gothmog said: Huko marekani anaenda kufanya kazi gani bwashee? Kazi zipo hapa tanzania ila hataki kuzifanya. Afanye kazi ili chama kiongeze nguvu. Click to expand... Ungeenda naye ili kuona anafanya nini.