Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Na wakionekana wanapaswa kuendelea kuwa ndani kwa kukiuka masharti ya dhamana ikiwemo kutoonekana mahakamani na kuvunja sharti la kutosafiri nje ya nchi mtaridhia waendelee tu kukaa ndani?

Sent using Jamii Forums mobile app
kiazimviringo wa lumumba utamuona tu, kwanza sasa hakuna mahakama kuna huru aachiwe asiachiwe yaleyale tu. magu alisema wataishia jela ko hakuna jipya na ni bora waishie jela tu.
 
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamis Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya voingozi wakuu wa Chama na wabunge 7 wa CHADEMA.
______________________
Update..
Mmoja ataachiwa mwingine atabaki
 
Tuna imani watashinda watapewa dhamana ni haki yao walikuwa wananyimwa kwa sababu ya maelekezo kutoka kwa jiwe giza haliwezi kushinda nuru.
1551937063424.png


Wilbard angelitumia condition hiyo asingeliwafutia dhamana! There were other means to look at the issues!
 
Uwezekano wa Mbowe kushinda hii kesi ni mdogo kwa kuwa dharau alizofanya zilikuwa za wazi kabisa akitegemea mabwana wake wa Brussels ( EU ) watamtetea, acha apate anacho stahili iwe fundisho kwa wote pia.
 
Kuhusu hatia tu, hilo ni la mahakama kuamua
Jiwe ana laana haya mabaya anayofanya kuna siku naye atahukumiwa sijawahi kuona kiongozi mkatili kaka jiwe unafurahi kuona kiongozi wa upinzani kukaa mahabusu kwa muda wa miezi mitatu bila kuwa na hatia
 
View attachment 1039959

Wilbard angelitumia condition hiyo asingeliwafutia dhamana! There were other means to look at the issues!
He was only interested on one side of the coin. He used this principle of laws... "The error is in the face of the record, you don't need to look behind the record". He only looked on the face of the record.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki huwa inacheleweshwa tu na watoto wa dawa ila itapatikana
 
Haya mambo yatakuja kuandikwa baadae kwenye vitabu na masimulizi siku magufuri akifa.. tumeona viongozi wengi wakisimuliwa huko YouTube mabaya yao...

Story yako Pombe itasumiliwa na ananiasi Edgar..na kuandaliwa na denis mbagaza...

Pombe uliingia madarakani madaraka yaka kulevya.. ukazaaa,
ukafukuza,
ukatesa,
ukateka,
ukaporomosha uchumi,
ukaminya ajira,
ukabana mishahara na kupandisha madaraja ya watumishi,
ukawafunga wapinzani,
ukauwa,
ukafanya kila njama kuuwa upinzani, UKATEUWA wanao kusujudia tuu,
NCHI ukaiendesha utakavyo sio katiba itakavyo n.k

POMBE STORY YAKO ITAKUJA KUANDIKWA SIKU UKIFA.. UTAZIDIWA ATA NA RUGE MTAHABA..HUNA WEMA WOWOTE WA KUKUMBUKWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kujidanganya, magu tunae hadi 2030
 
Nahisi Mbowe na matiako watakuwa wametia akili kwa sasa. Wamwache aje kupambana na Lissu.
 
Kwa nini usiulize kwa nini walifutiwa dhamana unauliza kwa nini hawakupewa dhamana?,hili ni tatizo la watu kuposti bila kuangalia kinachojadiliwa.

Dhaana yao ilifutwa na mahakama ya chini,wakaenda makahama kuuu,huko serikali ikakata rufaa ikipinga rufaa yao isisikilizwe,mahakama ikatupa rufaa ya jamhuri.leo ndo mbivu na mbichi zitajulikana
 
Back
Top Bottom