Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Wasalaam, habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika zinaeleza kuwa kwa sasa mh mbowe na ester matiko watapatiwa dhamana hivi karibuni. Habari zinaeleza kwamba lengo la kwasotesha ndani lilikua kutimiza mission mbowe akae ndani ili mh lowassa akusanye siri na mikakati ya chadema na kuipeleka ccm. Kwa kuwa mission imetimia inaelezwa ccm wameshaielekeza mahakama iwapatie dhamana washitakiwa hao na hakika itawapatia, kwani sote tunatambua mahakama zetu ni tiifu kwa chama dola na hufanya kazi kwa shinikizo kutoka nyumba kuu
 
umeongea upuuzi, maana hakunaga kitu kama hicho

ebu tupekue vifungu vya sheriw vya kumtetea MBOWE ATOKE NDANI

msaidie mwanasheria kutafuta vifungu na omba atoke

umeongea kama mtanzania halisi na may be std 3 ambaye anauliza maswali badala ya ku focus kwenye KUFANYA jambo litokee
Unadhani Mbowe akiendelea kukaa jela utafanikiwa kimaisha au siku zako za kuishi Duniani zitaongezeka? Pathetic Jinga kabisa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He was only interested on one side of the coin. He used this principle of laws... "The error is in the face of the record, you don't need to look behind the record". He only looked on the face of the record.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good, kama una nia ovu utafanya hivyo! see this again, naomba poteza muda kidogo usome...
Kuna sababu ambazo mahakama huwa inaziangalia hata kama mtu amefail bail conditions!!! nitakupa judgement nzima

1551941860818.png
 
Wasalaam, habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika zinaeleza kuwa kwa sasa mh mbowe na ester matiko watapatiwa dhamana hivi karibuni. Habari zinaeleza kwamba lengo lilikua kutimiza mission mbowe akae ndani ili mh lowassa akusanye siri na mikakati ya chadema na kuipeleka ccm. Kwa kuwa mission imetimia inaelezwa ccm wameshaielekeza mahakama iwapatie dhamana washitakiwa hao.

Kwa maana hiyo hata Mbowe mwenyewe ni sehemu ya huu mpango maana sababu ya kuwekwa korokoroni ni kuvunja masharti ya dhamana na kudanganya mahakama kuwa yuko mahututi huko South Afrika kumbe anakula bata Ubelgiji.
 
Siri ndio nini,? Hivi unafikiria mikakati uwa inakaa Ile Ile tu? Ingekuwa hivyo basi wafanyakazi wanaoama taasisi moja kwenda nyingine wanayoiacha ingekuwa inakufa.

Mtu anahama kutoka NMB kwenda CRDB Ndio NMB inakufa?....

Au Yule jamaa alisefanya kaziVoda,,tigo na airtel sasa hv yupo sports pesa kenya ndio voda imekufa.?....

Au wakina Ibrahim Masood & Dinna kuhama Clouds kwenda Efm ndio clouds kufa?....

Taasisi itabaki kuwa taasisi tu na mtu atabaki kuwa mtu na hakuna taasisi inayokuwa na mbinu za aina Ile Ile muda wote.......

Hakuna mtu duniani anayeweza kuwa zaidi ya taasisi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa nikila tarehe ya kusikilizwa kesi inayowakabili viongozi wa chadema inapofika,huyu bwana mkubwa tulikuwa tunaambiwa kalazwa anaumwa.
Tangu kawekwa kolokoloni sioni akiwa mahututi tarehe za kusikiliza rufaa yake,na pingamizi la rufaa yake.
Kumbe akiwa ndani haugui,naona nipazuri,panafaa aendelee kukaa ili kesi inayowakabili iende haraka.
 
Mtapiga rami sana ila ndo hivo tena tamaa za pesa zimemponza mbowe akabadili gia angani,, kilichobaki ni kubadili gia ya chadema kaburini pale atakapohitimisha Mr zero
 
Unadhani Mbowe akiendelea kukaa jela utafanikiwa kimaisha au siku zako za kuishi Duniani zitaongezeka? Pathetic Jinga kabisa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app


kama haujaelewa content na majibu kwa yule jamaa wewe una tatizo kubwa mno


mimi ndio ninayetaka atoke

rudia kusoma post yangu

kama una stress za maishs, kajirushe gorofani

mdudu we
 
Ilikuwa nikila tarehe ya kusikilizwa kesi inayowakabili viongozi wa chadema inapofika,huyu bwana mkubwa tulikuwa tunaambiwa kalazwa anaumwa.
Tangu kawekwa kolokoloni sioni akiwa mahututi tarehe za kusikiliza rufaa yake,na pingamizi la rufaa yake.
Kumbe akiwa ndani haugui,naona nipazuri,panafaa aendelee kukaa ili kesi inayowakabili iende haraka.
Kuhudhuria.


Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom