Siri ndio nini,? Hivi unafikiria mikakati uwa inakaa Ile Ile tu? Ingekuwa hivyo basi wafanyakazi wanaoama taasisi moja kwenda nyingine wanayoiacha ingekuwa inakufa.
Mtu anahama kutoka NMB kwenda CRDB Ndio NMB inakufa?....
Au Yule jamaa alisefanya kaziVoda,,tigo na airtel sasa hv yupo sports pesa kenya ndio voda imekufa.?....
Au wakina Ibrahim Masood & Dinna kuhama Clouds kwenda Efm ndio clouds kufa?....
Taasisi itabaki kuwa taasisi tu na mtu atabaki kuwa mtu na hakuna taasisi inayokuwa na mbinu za aina Ile Ile muda wote.......
Hakuna mtu duniani anayeweza kuwa zaidi ya taasisi..
Sent using
Jamii Forums mobile app