Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

Mwenye nia ovu hapa ni serikali. Haiwezekani heshima ivunjiwe mahakama kisha dhamana hiyo upinge wewe. Tatizo ni ukichaa unaoendelea wa kufanya upinzani kuwa ni uadui.
 
Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Punguza hisia bibie. Try to be rational in your thinking.
 
Vyama vinaongozwa kwa sera sasa kila mara ameiba siri ameiba siri mbona alipohamia CDM hakuambiwa ameiba siri za CCM. Hiyo imani ya kwamba kwenye vyama kuna siri za kuiba hiyo ni kupotezeana muda wangapi wamehama kwenye chama na hizo siri mbona vyama wanavyohama havijayumba. Tuache kuongea vitu vya uwongo. Sasa hizo siri ni zipi Hivi kuna siri katika Hivi vyama vya siasa na hizo siri zinasubiri mtu aibe na kuhama badala ya kutafutwa kwa watu. walioko kwenye chama maana chama ni taasisi inayoendelea kuwepo na kila siku kunakuwa na mipango mipya kulingana na mazingira. Tuache kudanganyana.
 
Mwenye nia ovu hapa ni serikali. Haiwezekani heshima ivunjiwe mahakama kisha dhamana hiyo upinge wewe. Tatizo ni ukichaa unaoendelea wa kufanya upinzani kuwa ni uadui.
tatizo mbowe zarau anataka aonewe huruma kwakuwa mpinzani basi afanye anavyotaka kakiuka mashart ya dhamana halafu aonewe huruma akatanue nje wenzie wanahuzuria mahakamani acha ale jeuri yake
 
Wasalaam, habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika zinaeleza kuwa kwa sasa mh mbowe na ester matiko watapatiwa dhamana hivi karibuni. Habari zinaeleza kwamba lengo la kwasotesha ndani lilikua kutimiza mission mbowe akae ndani ili mh lowassa akusanye siri na mikakati ya chadema na kuipeleka ccm. Kwa kuwa mission imetimia inaelezwa ccm wameshaielekeza mahakama iwapatie dhamana washitakiwa hao na hakika itawapatia, kwani sote tunatambua mahakama zetu ni tiifu kwa chama dola na hufanya kazi kwa shinikizo kutoka nyumba kuu
Kwahiyo unataka kusema walipanga mbowe akiuke masharti ya dhamana?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Bado ni tetesi, tusubiri habari kamili, unasubiriwa utaratibu wa kawaida.


Walikata rufaa Mahakama Kuu wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana.

Walifutiwa dhamana hiyo na aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri Novemba 23, 2018. Kufuatia uamuzi huo, Mbowe na Matiko, walikata rufaa Mahakama Kuu siku hiyo hiyo, wakipinga kufutiwa dhamana yao chini ya hati ya dharura. DPP aliweka pingamizi la awali akiiomba mahakama hiyo isiisikilize rufaa hiyo pamoja na mambo mengine akidai kuwa haina mamlaka kwa kuwa rufaa hiyo ilikuwa inakiuka matakwa ya sheria

Mbowe na Matiko walikata rufaa Mahakama ya Rufaa, na Tarehe 1 Machi Mahakama ya Rufani ilitupilia mbali hoja za rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kuelekeza jalada la rufaa hilo lirejeshwe Mahakama Kuu kwa ajili ya kuendelea na usikilizwaji wa rufaa.
 
Mamaa utaacha lini umalay???
Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
 
Ccm na vyombo vya dora sawa na uji na ugonjwa baada ya kumsumbua mbowe hatiamae meko kaamua kuamuachia na genge lake la majaji

Waliompiga risasi akwelina wapo mtaani
 
siyo haki kabisa tunakata rufaa tena haiwezekani waizarau mahakama tena wapate dhamana mara ya pili hao wanatakiwa waendelee kusota mpaka wakome
 
Back
Top Bottom