kiazimviringo wa lumumba utamuona tu, kwanza sasa hakuna mahakama kuna huru aachiwe asiachiwe yaleyale tu. magu alisema wataishia jela ko hakuna jipya na ni bora waishie jela tu.Na wakionekana wanapaswa kuendelea kuwa ndani kwa kukiuka masharti ya dhamana ikiwemo kutoonekana mahakamani na kuvunja sharti la kutosafiri nje ya nchi mtaridhia waendelee tu kukaa ndani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmoja ataachiwa mwingine atabakiMahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamis Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya voingozi wakuu wa Chama na wabunge 7 wa CHADEMA.
______________________
Update..
Tuna imani watashinda watapewa dhamana ni haki yao walikuwa wananyimwa kwa sababu ya maelekezo kutoka kwa jiwe giza haliwezi kushinda nuru.
Jiwe ana laana haya mabaya anayofanya kuna siku naye atahukumiwa sijawahi kuona kiongozi mkatili kaka jiwe unafurahi kuona kiongozi wa upinzani kukaa mahabusu kwa muda wa miezi mitatu bila kuwa na hatia
Ndugu pamoja na hayo unayojaribu kuyaeleza, nadhani moyo wako wewe ni wa CHUMA. But as far as you are still alive.... Let's pray for your long live, hope one day you will understand this.
He was only interested on one side of the coin. He used this principle of laws... "The error is in the face of the record, you don't need to look behind the record". He only looked on the face of the record.View attachment 1039959
Wilbard angelitumia condition hiyo asingeliwafutia dhamana! There were other means to look at the issues!
Fidia?Wakionekana wanapaswa kuwa nje kwa dhamana, Je watalipwa fidia ya kuwekwa ndani muda wote huo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia elewa kwamba, "haki iliyocheleweshwa ni haki iliyonyimwa"Haki huwa inacheleweshwa tu na watoto wa dawa ila itapatikana
endelea kujidanganya, magu tunae hadi 2030Haya mambo yatakuja kuandikwa baadae kwenye vitabu na masimulizi siku magufuri akifa.. tumeona viongozi wengi wakisimuliwa huko YouTube mabaya yao...
Story yako Pombe itasumiliwa na ananiasi Edgar..na kuandaliwa na denis mbagaza...
Pombe uliingia madarakani madaraka yaka kulevya.. ukazaaa,
ukafukuza,
ukatesa,
ukateka,
ukaporomosha uchumi,
ukaminya ajira,
ukabana mishahara na kupandisha madaraja ya watumishi,
ukawafunga wapinzani,
ukauwa,
ukafanya kila njama kuuwa upinzani, UKATEUWA wanao kusujudia tuu,
NCHI ukaiendesha utakavyo sio katiba itakavyo n.k
POMBE STORY YAKO ITAKUJA KUANDIKWA SIKU UKIFA.. UTAZIDIWA ATA NA RUGE MTAHABA..HUNA WEMA WOWOTE WA KUKUMBUKWA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aje kupambana na Lissu kwa lipi ?Nahisi Mbowe na matiako watakuwa wametia akili kwa sasa. Wamwache aje kupambana na Lissu.
Hujui kama Lissu katangaza kugombea urais?Aje kupambana na Lissu kwa lipi ?