Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In the end,we all diessiyo haki kabisa tunakata rufaa tena haiwezekani waizarau mahakama tena wapate dhamana mara ya pili hao wanatakiwa waendelee kusota mpaka wakome
Funga domo lako wewesiyo haki kabisa tunakata rufaa tena haiwezekani waizarau mahakama tena wapate dhamana mara ya pili hao wanatakiwa waendelee kusota mpaka wakome
wanajeuri sana hao warudi ndani tu mwaka mzima wajifunzeFunga domo lako wewe
Esther Matiko dhamana akipewa atimue mbio akawakumbatie polisi awaombe wampe ulinzi hadi nyumbani huyo mkware Mbowe asije mngangania ukitilia maanani kakaa ndani muda mrefu ana usongo.Thank you God,sasa Ndio wakati wa kwenda kumpima Damu Mwenyekiti wetu.
Walifutiwa dhamana hiyo na aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri Novemba 23, 2018. Kufuatia uamuzi huo, Mbowe na Matiko, walikata rufaa Mahakama Kuu siku hiyo hiyo, wakipinga kufutiwa dhamana yao chini ya hati ya dharura.Walikata rufaa Mahakama Kuu wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana.
Walifutiwa dhamana hiyo na aliyekuwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri Novemba 23, 2018. Kufuatia uamuzi huo, Mbowe na Matiko, walikata rufaa Mahakama Kuu siku hiyo hiyo, wakipinga kufutiwa dhamana yao chini ya hati ya dharura. DPP aliweka pingamizi la awali akiiomba mahakama hiyo isiisikilize rufaa hiyo pamoja na mambo mengine akidai kuwa haina mamlaka kwa kuwa rufaa hiyo ilikuwa inakiuka matakwa ya sheria
Mbowe na matiko walikata rufaa Mahakama ya Rufaa, na Tarehe 1 Machi Mahakama ya Rufani ilitupilia mbali hoja za rufaa ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na kuelekeza jalada la rufaa hilo lirejeshwe Mahakama Kuu kwa ajili ya kuendelea na usikilizwaji wa rufaa.
Too low mama Foxy. Kujipendekeza usisahau utu na ubinaadamu, hii ni siasa tu.Masikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
hongera man u.Ccm na vyombo vya dora sawa na uji na ugonjwa baada ya kumsumbua mbowe hatiamae meko kaamua kuamuachia na genge lake la majaji
Waliompiga risasi akwelina wapo mtaani
Ameshinda kesi!Safi sana!
Kwa lengo la kukomoa hii dunia bana leo upo kesho ni mafunza yanakula nyama.Dhamana ni haki yao ila ilicheleweshwa kwa maagizo kutoka juu
Umejifunza kutukana kupitia Quran nafikiriHata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Kweni kuna Ubaya gani nyinyi Lumumba pia huwa Ute unawatoka Kwa Matiko,Esther Matiko dhamana akipewa atimue mbio akawakumbatie polisi awaombe wampe ulinzi hadi nyumbani huyo mkware Mbowe asije mngangania ukitilia maanani kakaa ndani muda mrefu ana usongo.
Lisu anafikiri wachaga ni kama wanyaturu wachaga pesa mbele.Wanasema ukitaka kuhakiki kama kweli mchaga kafa angusha hela ya coin kama shilingi mia tano karibu kichwa cha inayosemekana ni maiti ya mchaga ukiona haijatikisika kwa mlio ule wa hela uliyoitupa chini jua mchaga kafa kweli.Mchaga akifa huhitaji kupeleka mortuary kuhakiki kama kafa tafuta hela coin iwe mia mbili ,mia,au mia tano idondoshe chini mbele ya maiti akiwa mzima mangi lazima atikisike mbele ya pesa aamke aiamkie hela kwa kusema shikamoo pesaMasikini ya Mungu pesa za matibabu na school fees za wanawe tumeona clip anaomba kwa diaspora huko US sasa pesa za kununua nafasi ya kugombea urais atazitoa wapi? Unafikiri Wachagga watampa bure hiyo nafasi?
Hakuna Hoja Hapo Jee wakati jeneza linashushwa Kaburini bila ya Kusiakia Coin anatulia tu?!Lisu anafikiri wachaga ni kama wanyaturu wachaga pesa mbele.Wanasema ukitaka kuhakiki kama kweli mchaga kafa angusha hela ya coin kama shilingi mia tano karibu kichwa cha inayosemekana ni maiti ya mchaga ukiona haijatikisika kwa mlio ule wa hela uliyoitupa chini jua mchaga kafa kweli.Mchaga akifa huhitaji kupeleka mortuary kuhakiki kama kafa tafuta hela coin iwe mia mbili ,mia,au mia tano idondoshe chini mbele ya maiti
Mahakama ikidharauliwa inao uwezo wa kujiamulia yenyewe wala si jukumu la DPP kushadadia wasipewe dhamana. Hiyo inaonesha nia ovu ya kutaka kuwasotesha watuhumiwa gerezani wakati kesi yenyewe mpaka leo ushahidi unatafutwa kwa tochi.tatizo mbowe zarau anataka aonewe huruma kwakuwa mpinzani basi afanye anavyotaka kakiuka mashart ya dhamana halafu aonewe huruma akatanue nje wenzie wanahuzuria mahakamani acha ale jeuri yake