babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,423
- 3,297
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unavyosikia shetani huwa ubadhani ni lidubwasha fulani la kutisha? Mashetani wapo katika maumbo mengi, huyo ana sifa zote za shetani.Bro wewe nii nani unaongea kwa confidence kubwa kiasi hicho!!!!!? . Ujuayo ni ya Leo ya kesho huyajui. Ephraem Kibonde alienda bk kumzika mfanyakazi mwenza, akapews na uemc wa shughuli yote. Tafakari maneno ya Mungu aliyosema. Leo Yuko wapi? Mungu Ni Mambo yote. Step down brother. Muache Mungu afanye yake, hata kwa akina Mbowe anafanya. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakionekana wanapaswa kuwa nje kwa dhamana, Je watalipwa fidia ya kuwekwa ndani muda wote huo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mbowe ajaribu tena kuzuga ni mahututi halafu akapige selfie ubelgiji aone cha moto.Matamanio yenu wasipewe dhamaba yanaishia kushikishwa ukuta? Majinga sana nyie.
Nahisi Mbowe na matiako watakuwa wametia akili kwa sasa. Wamwache aje kupambana na Lissu.
Rufaa ilishapigwa chini court of Appeal, labda muende Kangaroo court, Chattle.Tutakata rufaa kupinga hukumu hii
Hata Ephrahim Kibonde alikuwa na kejeri zaidi yako.Kuna wapuuzi wanampa maneno ya faraja mara oo Mandela wa Tz mara oo kesho ni nzuri kuliko jana-ujinga!Kwa taarifa yenu cha moto amekipata!
Hii leo atalala fofofo!
Hii leo atawasimlia wakeze!
Hii leo hataisahau kamwe!
Huwezi kukaidi Mamlaka na ukabakia ukichekewa tu kama mtoto mrembo.Huwezi kujifanya unayo akili na utafanya kile ukitakacho bila kuwa na adabu!Cha moto ame.....!
Haya tena jifanye kujifaragua ili wakufarague tena.Miezi mitatu kile kiugonjwa kilienda wapi vile!?hahahahahaha!
Mamlaka ni Mamlaka bwana makengeza na inao uwezo wa kukufanya itakavyo na hutafanya lolote!Zaidi utaimbiwa vimapambio kama walivyokuwa wakikuimbia.
Haya sasa jifanye unaumwa tena.
Povu ruksa!
Hii ni elimu inayopatikana shule za kata, na hata Ndugai ana akili kama zako.Mahakama ni sehemu ya dola na hata mwenye yake Mamlaka akiamua leo huyo jeuri wako arejeshwe Sege na itakuwa. Jiongeze!
mahakama ya Kisutu ilikabidhi jukumu lake kwa Polisi “ - Jaji Rumanyika
“ hakuna mahala popote warufani wamezuiwa kusafiri Lakini Wakati huo huo wanatakiwa kuripoti Polisi kila Juma. Hii maana yake wamenyimwa Uhuru wa kusafiri na haki ya kufanya kazi “ - Jaji Rumanyia
“ ni hatari sana kunyima dhamana mtu bila sababu za Msingi “ - Jaji Rumanyika
“ Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia HAKI “- Jaji Sam Rumanyika .
Chanzo:Ukurasa wa twitter wa Zitto
Message sent!
Hahaha
Jaji mkuu anapaswa kujiuzulu haraka sana .Message sent!
Wako huru sasa, your wishes have failed.Uwezekano wa Mbowe kushinda hii kesi ni mdogo kwa kuwa dharau alizofanya zilikuwa za wazi kabisa akitegemea mabwana wake wa Brussels ( EU ) watamtetea, acha apate anacho stahili iwe fundisho kwa wote pia.