Herr muller
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 1,017
- 1,210
I NEVER EVER ARGUE WITH FOOLS AND IDIOTS,Vipi safari hii hamlalamiki kuwa waelekezo toka juu!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I NEVER EVER ARGUE WITH FOOLS AND IDIOTS,Vipi safari hii hamlalamiki kuwa waelekezo toka juu!!??
Hivi ukiwa chadema lazima tuwe na uwezo mdogo wa kufikirikia ,kama jiwe aliingilia atashindwa nini kuingilia kwa Rumanyika ?mawakili wenu walichemka tuDhamana haki ya yao kilichokuwa kinafanyika sarakasi za maelekezo ya jiwe shetani anakwenda kushindwa leo
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam leo Alhamisi Machi 7, 2019 inatarajiwa kutoa hukumu kwenye maombi ya rufaa yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa (Mb) na Esther Matiko (Mb) wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwafutia dhamana kwenye kesi na. 112/2018 inayowakabili baadhi ya voingozi wakuu wa Chama na wabunge 7 wa CHADEMA.
========
UPDATE:
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu jijini Dar
Maneno ya Jaji Rumanyika akisoma hukumu
Mahakama ya Kisutu ilikabidhi jukumu lake kwa Polisi. Hakuna mahala popote warufani wamezuiwa kusafiri lakini wakati huo huo wanatakiwa kuripoti Polisi kila Juma. Hii maana yake wamenyimwa Uhuru wa kusafiri na haki ya kufanya kazi
Ni hatari sana kunyima dhamana mtu bila sababu za Msingi.
Hii ni rufaa mojawapo sijawahi kuiona Katika kazi yangu ya Ujaji. Maofisa wa mahakama kama mahakimu wanapaswa kutumia utashi wao kuamua haki za watu kwa kuzingatia Haki.
=====
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam chini ya Jaji Rumanyika yatengua uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wa kufuta dhamana za Mhe Freeman Mbowe na Mhe Esther Matiko. Mahakama hiyo imeeleza kusikitishwa na ufutaji wa dhamana hizo na kuzitaka mahakama za chini zijionye kabla ya kufikia maamuzi yasio ya haki na kikatiba. Mahakama yaagiza warufani waachiwe mara moja.
Jaji Sam Rumanyika Katika kufuta uamuzi wa mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana Freeman Mbowe na Esther Matiko ametaja misingi 9 ya Mahakimu kuzingatia Katika Maombi ya dhamana.
1. Kesi inadhaminika
2. Kutoa dhamana ni tafsiri dhahiri ya mahakama ya dhana ya katiba ya kuwa mtu hana hatia mpaka mahakama itakapomhukumu vinginevyo.
3. Kufuta dhamana kunahitaji sababu kubwa kuliko sababu za kumpa mtu dhamana
4. Mahakama izingatie Ukubwa wa kosa Kutoa masharti ya dhamana
5. Masharti ya dhamana yawekwe bila kuleta hisia kuwa mpango ni kunyima mtu dhamana.
6. Mahakama izingatie adhabu kwa makosa yaliyopo mbele yake ili Pale ambapo mshatikiwa akitiwa hatiani asiwe amedhibiwa mara 2.
7. Sababu ziwe zinakubalika mahakama yeyote duniani
8. Mahakama izingatie Msongamano uliopo gerezani na je kutoa dhamana au kufuta dhamana kunachangia au kupunguza msongamano gerezani
9. Mahakama izingatie kuwa Uhuru ya mshatakiwa hauna mbadala.
Jaji Rumanyika sio tu amewaachia huru Mbowe na Matiko bali pia amefuta masharti ya dhamana ya kuripoti Polisi kila wiki.
Akisoma uamuzi huo leo, Jaji Sam Rumanyika amesema ushahidi uliowasilishwa mahakamani unaonesha Mbowe na Matiko hawakuruka masharti ya dhamana kama ilivyoelezwa na upande wa Jamhuri. Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
Na wewe umejibu kama Mtanzania halisi ambae baada ya kumsaidia kujibu swali anaporomosha maneno ya kejeli alafu ndo jibu linafuata bila kutambua kwamba katika idadi ya Watanzania sio wote wenye uelewa wa mambo mbalimbali, yeye kauliza swali apate kuelewaumeongea upuuzi, maana hakunaga kitu kama hicho
ebu tupekue vifungu vya sheriw vya kumtetea MBOWE ATOKE NDANI
msaidie mwanasheria kutafuta vifungu na omba atoke
umeongea kama mtanzania halisi na may be std 3 ambaye anauliza maswali badala ya ku focus kwenye KUFANYA jambo litokee
Kwani bado tu kesi haijakwisha...?
kanisa ni moja tu Katoliki Takatifu na La Mitume..
Mawakili walishindwa nini na leo wameweza nini.Hivi ukiwa chadema lazima tuwe na uwezo mdogo wa kufikirikia ,kama jiwe aliingilia atashindwa nini kuingilia kwa Rumanyika ?mawakili wenu walichemka tu
Mahakama kuu imejiridhisha kwa nyaraka kuwa Mbowe alikwenda Afrika kusini kwa matibabu na akatumia kipindi chake cha mapumziko ya matibabu kwenda Ubelgiji jambo ambalo si kosa kisheria.
Pia Ester Matiko hakufika mahakamani siku ya kesi yake kwa sababu alitumwa na Spika kwenda Burundi kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya mabunge ya Afrika mashariki. Ester aliwasilisha mahakamani barua ya Spika lakini ilikataliwa na kufutiwa dhamana.
MaCCM yanaroho mbaya sanaYaani spika wetu ni mbaya sana. Kweli kamtesa mama wa watu wakati yeye ndo alomtuma kwa safari jamani. Nimeumia sana kwa kweli.
alijabadilisha = halijabadilishaHata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Yaani mkuu...leo full vituko.Hacked ID....!!!
Thubutuuu...Wakionekana wanapaswa kuwa nje kwa dhamana, Je watalipwa fidia ya kuwekwa ndani muda wote huo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh! Hukumu ya jaji imeleta mtikisiko mkubwa...Hata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Tunatakiwa sote tuimbe wimbo wa aina moja... neno upinzani halitakiwi kusikika...Kumbe Matiko alitumwa na Spika Burundi yaani pamoja na kuleta uthibitisho bado alikataliwa? Duuh tuombe uzima kwa kweli ili tuyaone mengi
Sent using Jamii Forums mobile app