Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini Frank Nyalusi asema huu ndio wakati muafaka wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa, vinginevyo ni majanga

Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini Frank Nyalusi asema huu ndio wakati muafaka wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa, vinginevyo ni majanga

Wenzao CCM wanadunda tu na kofia mbili za mwenyekiti wao, yeyote atakayejitokeza anahangaisha chama atashughulikiwa kisawasawa atulie 🤣😁😂
 
Ila msigombane kama NCCR MAGEUZI pale Tanga kwenye mkutano wao na ndio ikawa mwisho wa zama za chama hicho kutamba kwenye siasa za nchi hii. Mzee Cheyo wa UDP naye aliletewa za kuleta na kina Jidulamabambasi wakiutaka uenyekiti wa chama hicho nacho kikapoteza umaarufu. Njoo TLP ya Mrema na CUF ya Maalim Seif ni yaleyale kama ya wakati huu kwa CHADEMA. Vyama vinakufa kisiasa kwa kutokusikilizana pamoja. Wenzao CCM wanadunda tu na kofia mbili za mwenyekiti wao, yeyote atakayejitokeza anahangaisha chama atashughulikiwa kisawasawa atulie
CDM hamjawahi kuwa na historia ya kugombea madaraka kama NCCR CUF UDP hiyo ndiyo advantage yetu kupokezana ni urithi wenu, mliishi jina la chama chenu. mtaheshimika
 
Tatizo ni kuwa mnatafuta mtu atakayewapigania mpaka hadi kufa wakati wenyewe mmejificha uvunguni mwa kitanda.

Mbowe amefungwa, amepoteza mali zake, amezushiwa kesi ya ugaidi bila kutetereka. Alipotangaza maandamano alijitokeza yeye, binti yake na wapambanaji wa Bawacha. Leo hii mnambeza kuwa alikuwa lege lege.

Sasa kwa vile mpambanaji amejitokeza kuwania uenyekiti naamini akiwaita mtatoka uvunguni ili mkasimame nae katika hayo mapambano matakatifu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom