TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Tena ni sawa kabisa na mtikila. Picha imepigwa Kam vilele ya mtikila, maana picha iko vizuri. Ndiyo maana chadema hapa kukwepa hii lawama ni ngumu

Wauji mnajua kujitetea mlisha zoea kuua watu....ila aue kwa upanga pia siku yaja atauawa kwa upanga
 
Tamko gani wakati chadema ni chama cha wauji? Suburini uchunguzi. Rais hawezi kukurupuka kama unavyodhani

tatizo lako kichwa chako kimejaa siasa mavi hapa mimi nazungumzia uhai wa mtu wewe unaleta uchadema na usisiemu wako mjinga kweli
 
Mchokoo ni kweli kabisa hata mie machungu yanazidi sana! Ipo siku uvumilivu utafika mwisho.Kova unafurahia vitisho! Shukuru Mungu wadanganyika ni waoga sana!

Mkuu ondoa Shaka sasa ni kaz na dawa tusilaumiane
 
Ukweli ni kwamba upinzani ni maendeleo kwa wananchi na siyo uadui kama inavyo onekana kwa sasa !
 
duu serikali ya magufuli haijali utu. Siasa ishakuwa vita
 
Kenge wewe,
Chacha wangwe alikuwa lumumba? Au tunajua mchezo mzima alikuwa shujaa wetu kwetu huku,pongezi kwa kujua mchezo mzima,
Narudi kwa wazo la Uzi huu, utavuna ulichopanda ukiwa duniani,

Nyie ni vibuyu sasa tusilaumiane kila mtu atabeba mzigo wake
 
Jamaa yangu hali hii inatusikitisha sana wengine tunaojali na kuheshimu uhai wa mwanadamu na viumbe wengine.Vile vile ni aibu kwa Taifa kama Tanzania na mimi kama Mtanzania sikuwahi kufikiria katika maisha yangu kwamba kuna nyakati zitafika ambapo uhai wa Mtanzania utaondolewa halafu viongozi wakabaki kuishi raha mstarehe pasipokujali madhila ya ndugu, jamaa na marafiki wanayopata kwa kuuawa kiakatili kwa wapendwa wao.
 
Reactions: 999
Huyo Mawazo alikuwa kwwnye kampeni za kumnadi mgombea wa udiwani chadema ...acheni propoganda ccm wanajua siri za kifo cha Mawazo...na mmezoea kule igunga mlimua Mbwana Masoud...kule Tarime ..mkaua tena juz yule kijana......kule usa river mkamua Msafir Mbwambo tena kwa kumchinja na chain saw what a shame...???
 

Daaaaah!!! Hivi wadau inakuwaje mtu anakuwa na akili hizi au ndiyo utofauti wenyewe?
If so, huyu atakuwa na ubongo wa Kuku
 

Kama unaumia sana hama nchi. Ikiwa huwezi kuhama basi susia siasa kama ambavyo wale manyumbu wanavyosusa pale Bungeni.
 
Well said Entim
 
Last edited by a moderator:
Mbona kamanda Chacha Wangwe hakuzikwa kitaifa na chama wakati alikuwa makamu mwenyekiti wa chama. Mpaka leo hata familia yake mmeitelekeza bila msaada wowote. Acheni uhuni huu.

Uhuni ni wewe na CCM. Familia hiyo ilitapeliwa na CCM kwa faida za kisiasa badala yake ikaaminishwa Chacha kauliwa na CHADEMA kama kawaida yenu.
 
Tuacha unafiki na kama mnajua alieua toeni taarifa kwenye vyombo vya dola na kama hujui siyo lazima utoe shutuma bila kujua muuaji ni nani mwenyezi mungu amulaze mahara pema peponi amina
 
Tatizo lako hujui hats kinachoendelea unapumua hewa chafu tuu
Kamanda ndiye aliyejengs CDM kwa kiwango kikubwa Arusha, Geits na Kanda ya ziwa halafu CDM hiyohiyo imdhuru
Akili za kitchen party ziishie kwenye kusasambua
Kama alikula hela za mamvi na kumbuka chadema imeshindwa vibaya sana geita. Inawezekana ni chadema. Kumbuka pia ni chadema hiyo hiyo ilimtishia kumuua Dr Slaa mpaka akakimbia nchi. Ila CCM haikuwahi wala kumtishia mamvi. Chadema ni chama cha magaidi na wauaji.
 
Masuala ya wafugaji na wakulima wengine wetu tumeshayazungumza sana tena sana, lakini tatizo ni serikali "Sikivu" ya CCM yenyewe ni sehemu ya mgogoro huo usioisha kati ya wakulima na wafungaji. Ingawa ni "Sikivu" lakini si "Zingativu" kwa hiyo tatizo la mauaji kati ya wakulima na wafugaji litaendelea mwaka hadi mwaka mpaka pale serikali "Sikivu" isiyo "Zingativu" itakapotolewa madarakani.

Nani anatafuta hiyo unayoiita "Kick ya Kisiasa" ? CHADEMA haikupanga mwenyekiti wake waliyekuwa wanamtegemea kujenga chama kwenye mkoa wa Geita kuuawa, itakuwaje ije itafute "kick" kutokana na kifo chake? Watu kila siku wanakufa kwenye ajali mabarabarani, lakini kwa nini alipokufa Regina Mtema, Chacha Wangwe au Christopher Mtikila jamii ya watanzania walilichukulia jambo hilo tofauti?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…