TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Kamsome vizuri JONAS SAVIMBI.

latest

Jonas Savimbi
Angolan nationalist whose ambition kept his country at war!



 
Ndugu autazami habari Nini achana na itikad kwenye mambo kama ayo jenga tabia yakukoxoa ata unacho kipenda,

Nakosoa nikiwa na evidence na si kwa kutumia hisia na ushabiki kama mnaouonyesha hapa. Hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeleta ushahidi pengine hata wa kimazingira tu kuonesha kwamba hao mnaowatuhumu ni kweli wamehusika.
 
Nakosoa nikiwa na evidence na si kwa kutumia hisia na ushabiki kama mnaouonyesha hapa. Hadi sasa hakuna hata mmoja aliyeleta ushahidi pengine hata wa kimazingira tu kuonesha kwamba hao mnaowatuhumu ni kweli wamehusika.

Baadhi ya wanachama wenu wanashikiliwa na pilisi akiwemo kiongoz wenu ..sijui mlikuwa mnabisha nn ..labda kama watoroke kama wale walio mua msafir Mbwambo...
 
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA)Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi,bado tunafaatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine,bt kwa tip iliyopo ni kwamba OCD wa wilaya ya Geita amepigwa vibaya baada ya yeye na polisi wenzake kulazimisha kuingia Mochwari huku mwili ukiwa umeshakabidhiwa hospitali,pia kuna madai polisi kutaka kufanya njama ya kulazimisha mwili urudishwe Geita,
Kamanda Lema yupo eneo la tukio.

Kuna njama za kutaka kutorosha mwili inadaiwa
 
R.I.P Mawazo.
Mods Usahihi

Mawazo Alfonce aligombea udiwani kata ya Sombetini mara ya kwanza kupitia TLP mwaka 2007 akashinda,uchaguzi uliofanyika baada ya Mussa Mkanga kujiuzulu yeye na Meya Paul Laiser kwa kashfa ya kuuza uwanja wa kilombero.

Mwaka 2009 mwanzoni aliihama TLP na kujiunga na ccm na kushinda tena ktk uchaguzi mdogo wa kata hiyo ya Sombetini.

Mwaka 2010 aligombea uchaguzi mkuu akiwa bado ccm na akashinda na kujiuzulu mwaka 2012 na kuingia rasmi chadema kwa ushawishi wa rafiki yake G Lema na baadaye kwenda kuimarisha chama kanda ya ziwa.
 
Savimbi ni miongoni mwa waangola waliochoka na udhalimu na ukandamizaji wakaamua kujilinda na kuitafuta haki.
Na kweli haki aliipata. Killed like a dog, forgotten and crucified by history. Kibaraka wa Wareno na makaburu wa Sauzi. Not a role model to anyone.
 
Kifo nipo hakiepukiki,,,,lkn je hv kila mwanasiasa ni mtu safi nje ya siasa??? Lkn pia hv kila inapotokea kfo cha mtu anaejihusisha na siasa na hasa cha kusababishwa na shambulio la mwili inakuwa direct shambulio hilo ni LA kisiasa???
Mawazo alikuwa binadam km wengne waliopo na walio tangulia,,,,cna Hakka juu ya hili lkn ni heri pia tukaliweka akilin,,,,kwan inashindikana VP kuwa mawazo alikuwa na migogoro na watu wengine au MTU,,,, ambaye sasa anachukua opportunity ya uanasiasa wa mawazo kumdhuru na kujifcha kwenye mwamvuli wa siasa maana anatambua fika kuwa watanzania na ht police hawatopoteza muda kumfikiria yy ila chama na wafuasi kinzani na chama au micmamo ya mawazo!!!
Tuliachie jeshi LA polisi lifanye wajbu wake kisha watatueleza sababu za shambulio hlo,,,kuliko kukubali kujazwa sumu na jazba na viongoz wa juu ambao wao hawapat tabu za jazba km cc
 
_umetutoka umetuacha na fumbo kubwa na maswali kibao..
_______>>>>>>>>>
_wakina nani wametenda haya?
_kwa malengo gani.?
_nini chanzo mmbaka wautoe uhai wako?
_je! ni siasa ndio chanzo cha haya yote...hapana sina huwakika ..

__labda wana jf wakawa na jibu sahihi..
 
Re:Bad news Mauwaji ya Alfonse Mawazo.
:eek2::eek2::eek2: Kwa nini tuuwane sisi kwa sisi ile hali tukijua kwamba kila nafsi itaonja mauti?Kama kifo cha Mawazo kweli kimesababishwa na chuki za kisiasa basi kama nchi tunapanda mbegu mbaya mno katika taifa letu kwa vizazi vijavyo.


 
Toka juzi tar. 14.10.15 taarifa za kifo chake zilipotolewa, nimekosa nguvu na maneno ya kuandika kwenye mtandao wowote wa kijamii. Why Mawazo? Japo wengi wetu tunaamini kifo ni mipango ya Mungu, lakini cha Mawazo nasita kuamini hivyo. Miezi ya hivi karibuni wameondoka watu wengi tu na vifo vyao vimenigusa sana lakini chako Alfonce Mawazo, Filikunjombe, Mohamed Mtoi vimeniacha na maumivu sana. RIP bro.
 
Upumzike kwa amani mwana mwema wa Tanganyika! Damu yako haitapotea bure bali itakuwa mbegu na chachu ya Tanganyika mpya! Amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom