TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Unapoua mtu mmoja bila hatia ni sawa na umeua dunia nzima. Watch out
 
Oooh my God! Polisi mnajua la kufanya!(in voice of mukulu).In the world truth is the certificate to die! RIP MAWAZO!
 
naam,
miaka imepita sasa , mengi yameshatokea na yanatokea. binadamu tumeumbwa na kusahau. hata leo jioni wapo watakao sahau msiba wa watoto walioungana kama vile hapajatokea kitu .ni ubinadamu, fikiria binadamu tungekuwa hatusahau dunia hii iliyojaa maovu na maumovu kila kukicha ingekuwaje? naam.
pamoja na siku kupita sitausahau usiku ule nikiwa nakula mara naona mwili wa mtu aliyekatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake. inatoka sauti kwamba yule hakuwa jambazi wala kibaka bali ni aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo huko kanda ya ziwa anaitwa kamanda Mawazo. maswali ninayojiuliza mpaka leo. ni
1).nani alimua kamanda mawazo? kwanini hajakamatwa mpaka leo?
2) kamanda mawazo alikuwa mtu mbaya hata kustahili kifo cha mateso namna ile? aliyemuua alipata faida gani?
3) je ni sawa kuita nchi kisiwa cha amani wakati watu wanauwawa kwa kukatwa mapanga kama walivyouwawa kina mawazo na akwilini?
Nani alimua kamanda mawazo kwanini hajakamatwa mpaka leo?
UHAI/ HAKI YA KUISHI NDIYO HAKI MAMA. KUMUA MTU KWA SABABU YEYOTE ILE NI MAKOSA MAKUBWA MBELE YA MUNGU. NI ADHABU YA JUU KABISA.
pumzika kwa amani kamanda mawazo.
ipo siku wauji.na watesi wako watajulikana tu.
 
Fanyakazi ujenge Taifa lako siasa zina ubabe wake ukiiichagua kubali yote.
 
Mizaha kuingizwa katika hoja fikirishi ni utapiamalezi na dalili mbaya ya mapungufu makubwa ya makuzi
 
naam,
miaka imepita sasa , mengi yameshatokea na yanatokea. binadamu tumeumbwa na kusahau. hata leo jioni wapo watakao sahau msiba wa watoto walipungana kama vile hapajatokea kitu.
pamoja na siku kupita sitausahau usiku ule nikiwa nakula mara naona mwili wa mtu aliyekatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake. inatoka sauti kwamba yule hakuwa jambazi wala kibaka bali ni aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo huko kanda ya ziwa anaitwa kamanda Mawazo. maswali ninayojiuliza mpaka leo. ni
1).nani alimua kamanda mawazo? kwanini hajakamatwa mpaka leo?
2) kamanda mawazo alikuwa mtu mbaya hata kustahili kifo cha mateso namna ile? aliyemuua alipata faida gani?
3) je ni sawa kuita nchi kisiwa cha amani wakati watu wanauwawa kwa kukatwa mapanga kama walivyouwawa kina mawazo na akwilini?
Nani alimua kamanda mawazo kwanini hajakamatwa mpaka leo?
UHAI/ HAKI YA KUISHI NDIYO HAKI MAMA. KUMUA MTU KWA SABABU YEYOTE ILE NI MAKOSA MAKUBWA MBELE YA MUNGU. NI ADHABU YA JUU KABISA.
pumzika kwa amani kamanda mawazo.
ipo siku wauji.na watesi wako watajulikana tu.
Kamanda Mawazo aliuliwa na kikundi cha kigaidi cha CCM.
 
Kabla MTU hajatenda dhambi kuna sauti ya upole inatoka kwa mbali ikikuonya usifanye hiyo kitu.
Sasa nawaza MTU kabla hajaua huyo MTU hiyo sauti kweli hakuisikia
Biblia iko wazi Mathew chp 19 kama sijakosea ameelezea hili kitu, kweli hiyo sauti kabla ya kutenda hukuisikia?

Sio kuua tu jiulize kabla hujamfanyia ubaya mwenzako hiyo sauti hukuisikia? Je hukuwaza kama na wewe ukitendewa??.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom