Mwenyekiti wa CHADEMA Njombe, Rose Mayemba akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo!


Wanasiasa wangapi wamehamasisha migomo? Tukae tujenge nchi yetu kwa pamoja. Kuwa ndani ya ofisi za umma hakumaanishi wafanyabiashara sio watanzania au ni wahalifu.
Treatment ya wafanya biashara kwa muda mrefu imekuwa sio nzuri. Kuna watu wanaweka mazingira kama wanawafanyia favor wafanyabiashara.
Ndio maana kuna makadirio ya kodi yasio kweli na ubabe uliopitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…