Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Azingatie "senteso" yako.Yawezekana naye mwenyekiti ni mfanyabiashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azingatie "senteso" yako.Yawezekana naye mwenyekiti ni mfanyabiashara.
Jah people ndio Mfalme wa KariakooHapo kwenye aslimia 90 ya wafanyabiashara Kariakoo ni wakinga imenifanya nicheke tu.
Unaswagwa kama hujitambui na kwanini usiswagwe mwenyewe umejiweka kundi la ng'ombe mnyama ili hali ni binadamu!Raia wa Tanzania no kama ng'ombe. Tunaswagwa na serikali.
Hii serikali ya majangili haiwezi kuona hata kidogoSerikali Ione aibu sasa kwa matendo yake,na ifike mahali iogope utandawazi uliopo na generation hii.
Na kuteua marehemu kuwapa nafasi za kaziKazi yake kubwa ni kufanya mipango ya wizi
Aibu sanaNa kuteua marehemu kuwapa nafasi za kazi
Ninachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.