Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja mfu mkabisa hii. Kwani hakuna watu ambao ni wafanyabiashara na vile vile ni wanasiasa?
Acha uwoga wewe, usiwapangie watu namna ya kuishi. Chawa mkubwa wewe.
Kama kweli wamuachie tu!Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo.
Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Tutaendelea kufuatilia
Nawatakia Dominica Njema 😃
Kuhusu mgomo soma MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Hao wanasiasa baadhi nao pia ni wafanya biashara huwezi kuwatenganisha mfano Kuna msukuma bungeni Kuna abood Kuna kishimba wako wengi tu asilimia sabini ya wanasiasa ni wafanya biashara ukitaka wasijiusishe basi tutenganishe siasa na biasharaNinachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Hii ndiyo kazi wanayoiweza Chadema, wao n kupinga tuu
Binafsi sitakuwa mzalendo afu wafaidi wengine hivyo sasa nitaendelea kwepa kodi kila dakika inayoenda maana ninapoishi barabara ya lami hakuna
Unataka awe na adabu kwa hawa viongozi majizi?Afundishwe kuwa na adabu.
Sidhani kama hapo kuna mwanasiasa anahusika,mamlaka ya mapato Tanzania wanafanya rough nyingi sana kwenye sector ya biashara.Ninachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Wakati wa Magufuli kodi ilikusanywa kwa jasho na damu na wengi tuliumia lakini at least kulikuwa na tija ya ukusanyaji ule tofauti na sasa kodi inakusanywa inachokifanya hakionekani.Binafsi sitakuwa mzalendo afu wafaidi wengine hivyo sasa nitaendelea kwepa kodi kila dakika inayoenda maana ninapoishi barabara ya lami hakuna
Hao wanasiasa baadhi nao pia ni wafanya biashara huwezi kuwatenganisha mfano Kuna msukuma bungeni Kuna abood Kuna kishimba wako wengi tu asilimia sabini ya wanasiasa ni wafanya biashara ukitaka wasijiusishe basi tutenganishe siasa na biashara
Siasa ni biashara pia ya Kuuza SeraMfanyabishara ni mfanyabiashara na mwanasiasa ni mwanasiasa.
Kishimba, Msukuma nk,wakiwa kwenye siasa wabaki wanasiasa, wakiwa kwenye biashara wabaki wafanyabiashara.
Kipaumbele number moja cha mfanyabiashara huwa ni biashara zake, sasa wanasiasa ambao ni wafanyabiashara wasiende kuleta siasa kwenye movement ambazo ziko kwenye uhalisia wakumsaidia mfanyabiashara na mwananchi.
Msukuma akisimama upande wa wafanyabiashara abaki huku na sio kuwa kigeugeu na kutumikia wale ambao ni wanasiasa wenzake akiwa upande wa siasa ili kunufaisha chama chake.
Nipo "Ramazani" hapa nataka nikaogelee Ruhuji mwagito.Nikiwa Kariakoo ni kama niko Makete 😂😂😂
Hivi,haijakubalika kwamba siasa ni maisha na maisha ni siasa?Siasa ni biashara pia ya Kuuza Sera
Hapo kwenye aslimia 90 ya wafanyabiashara Kariakoo ni wakinga imenifanya nicheke tu.Kuna tetesi Kuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba anashikiliwa na Polisi kwa kuhamasisha mgomo wa Wafanyabiashara unaoanzia Kariakoo.
Ikumbukwe asilimia 90 ya Wafanyabiashara wa Kariakoo ni Wakinga kutoka mkoani Njombe
Tutaendelea kufuatilia
Nawatakia Dominica Njema 😃
Kuhusu mgomo soma MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
Miye Niko Chaugingi naelekea Idundilanga 😂😂😂Nipo "Ramazani" hapa nataka nikaogelee Ruhuji mwagito.
Umegoma kabisa.Tupe uuwiano mkuu.Hapo kwenye aslimia 90 ya wafanyabiashara Kariakoo ni wakinga imenifanya nicheke tu.
Yawezekana naye mwenyekiti ni mfanyabiashara.Ninachoweza kusema, kama wafanyabiashara wanataka kugoma kushinikiza mambo yanayohusisha biashara zao Vs Serikali wagome bila kushirikisha wanasiasa wa Tanzania.
Wanasiasa nao wakae mbali na movement zinazohusu raia walio nje ya siasa zao ili hizi movement zisiwe na milengo ya kisiasa.
Lazima ukapige mtogwa aisee!Nyamtutu zinakusubiri ili uomboleze kifo cha nduguyo Mkalaghani.Miye Niko Chaugingi naelekea Idundilanga 😂😂😂