Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu vipi tena mnyampaa ni uwenyekiti tu unakufanya unywee/unyooke fasta hivyo?Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu leo ametembelewa ofisini kwake Makao Makuu ya chama hicho na viongozi wa ACT Wazalendo ambao ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ismail Jussa (kulia) na Katibu Mkuu Ado Shaibu. Pamoja na mambo mengine, wameongelea hali ya kisiasa nchini.